International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

ACCRA, 10 DESEMBA 2025 – Kufuatia kitendo cha kutendwa vibaya na kufukuzwa bila sababu za msingi kwa raia watatu wa Ghana na mamlaka za Israel, Serikali ya Ghana imelazimika kuchukua hatua ya...
3 Reactions
7 Replies
366 Views
Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan...
3 Reactions
6 Replies
412 Views
Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya...
3 Reactions
11 Replies
648 Views
Taifa la Rwanda limeshutumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi kwa kukiuka Makubaliano ya Washington, mkataba wa kusitisha mapigano uliosainiwa wiki iliyopita chini ya uratibu wa...
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB...
0 Reactions
6 Replies
550 Views
Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu. ------------------------------------------------- Mahakama ya...
2 Reactions
7 Replies
443 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na...
1 Reactions
4 Replies
310 Views
Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama...
1 Reactions
4 Replies
255 Views
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake...
0 Reactions
5 Replies
336 Views
Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea...
0 Reactions
9 Replies
424 Views
Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas), Omar Touray amesema kwamba Afrika Magharibi iko katika hali ya dharura kutoka na utamaduni wake uliozoeleka sasa kupinduana. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Mitetemeko mitatu ndani ya wiki iliyoikumba Afghanistan imeacha maelfu ya vifo na majeruhi. Inaripotiwa wanawake ambao wamefukiwa na vifusi wameachwa wafe bila kusaidiwa kwasababu uongozi wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani. Serikali za Afrika hususan...
23 Reactions
142 Replies
11K Views
To German Embassy in Tanzania Tanzanians seek cooperation in unearthing the details of what transpired at Twiga Cement Factory in Dar es Salaam during Samia Suluhu Hassan's heinously bloody...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump ------------ Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo...
2 Reactions
12 Replies
751 Views
Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi...
16 Reactions
112 Replies
3K Views
Marekani imeipatia Rwanda Dola milioni 228 kwa ajili ya kupambana na HIV pamoja na malaria. Pesa hizo ni sawa na Shilingi bilioni 600 za Kitanzania. Tuache kiburi. Tupo katika dunia...
7 Reactions
18 Replies
540 Views
Back
Top Bottom