Marekani imekaa kando na kuahirisha mkataba mkubwa wa ufadhili wa afya uliokusudiwa kwa Zambia, wenye thamani ya dola bilioni 1.5 karibia Trilioni 3.7 za Kitanzania.
Marekani imeahirisha kutoa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa vitendo wanavyofanya Rwanda katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukiukwaji wa wazi wa Makubaliano ya...
❌️ Israel inathibitisha kuondolewa kwa Ra’ad Sa’ad, kamanda mkuu wa Hamas aliyehusika katika kupanga mashambulizi ya Oktoba 7 na kuwajibika kwa uzalishaji wa silaha na kujenga upya uwezo huko...
This isn’t for the weak, and it’s not to massage egos.
It’s the reality modern women refuse to admit — until it’s too late.
You thought you were upgrading.
Leaving your husband for “freedom,”...
Baada ya kukamatwa kwa Uviru, M23 inaendelea na safari.
Siku ya jana, eneo lijulikanalo kama Mboko, lililopo umbali wa km 56bkutoka Uvira, liliangukia mikononi mwa kundi hilo la M23.
Inasemekana...
Serikali ya Waziri Mkuu Rosen Zhelyazkov imejiuzulu baada ya maelfu ya waandamanaji kujitokeza mitaani katika miji mbalimbali nchini Bulgaria na kujaza eneo la katikati ya mji mkuu, Sofia...
Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela
Akizungumza Ikulu ya White House siku ya...
Mpaka sasa, taarifa zisizo na vumbi, mji wa UVIRA, makao makuu ya Kivu kusini, upo mikononi mwa waasi wa serikali ya DRC, ambao ni M23.
Ikumbukwe, wapiganaji wote wa upande wa serikali ya DRC...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemhukumu aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed kifungo cha miaka 20 jela kwa kutenda ukatili katika eneo la Darfur, Sudan.
Ali Muhammad Ali...
Marekani kupitia wakala wake mkuu maziwa makuu Paul Kagame walishakubaliana mpango wa namna ya kudhibiti madini ya congo kwa kuhakikisha nchi ya congo haitawaliki. Kagame ndio msimamizi mkuu. Yeye...
ACCRA, 10 DESEMBA 2025 – Kufuatia kitendo cha kutendwa vibaya na kufukuzwa bila sababu za msingi kwa raia watatu wa Ghana na mamlaka za Israel, Serikali ya Ghana imelazimika kuchukua hatua ya...
Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan...
Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya...
Taifa la Rwanda limeshutumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi kwa kukiuka Makubaliano ya Washington, mkataba wa kusitisha mapigano uliosainiwa wiki iliyopita chini ya uratibu wa...
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo.
Makala inasema kwamba ECB...
Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya...
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi...
Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki
mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu.
-------------------------------------------------
Mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.