Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka...
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10.
Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama...
Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu”...
Huyo waziri wa mambo ya nje wa UAE, mwarabu 100% anawaonya westerners na Christians wanao entertain arabs na muslims,
Msikilize mwenyewe, msiseme hamkuambiwa. Hakuna muslim zaidi ya huyo.
Dont...
Kundi la waasi la M23 limetangaza kujiondoa katika Mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa masharti maalumu, likidai hatua hiyo inalenga kupunguza mvutano wa...
Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko...
Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic...
Wadau inaumiza sana hebu soma hapa kwa kiingereza: Rob Reiner mkurugenzi na muandaaji wa filamu maarufu hollywood ambaye ni Myahudi auawa kinyama na mkewe.
Jewish director-actor Rob Reiner and...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, atakutana na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na viongozi wengine wa Ulaya pamoja na wawakilishi kutoka Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya kujihami NATO, kuijadili...
Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa...
Marekani imekaa kando na kuahirisha mkataba mkubwa wa ufadhili wa afya uliokusudiwa kwa Zambia, wenye thamani ya dola bilioni 1.5 karibia Trilioni 3.7 za Kitanzania.
Marekani imeahirisha kutoa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa vitendo wanavyofanya Rwanda katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukiukwaji wa wazi wa Makubaliano ya...
❌️ Israel inathibitisha kuondolewa kwa Ra’ad Sa’ad, kamanda mkuu wa Hamas aliyehusika katika kupanga mashambulizi ya Oktoba 7 na kuwajibika kwa uzalishaji wa silaha na kujenga upya uwezo huko...
This isn’t for the weak, and it’s not to massage egos.
It’s the reality modern women refuse to admit — until it’s too late.
You thought you were upgrading.
Leaving your husband for “freedom,”...
Baada ya kukamatwa kwa Uviru, M23 inaendelea na safari.
Siku ya jana, eneo lijulikanalo kama Mboko, lililopo umbali wa km 56bkutoka Uvira, liliangukia mikononi mwa kundi hilo la M23.
Inasemekana...
Serikali ya Waziri Mkuu Rosen Zhelyazkov imejiuzulu baada ya maelfu ya waandamanaji kujitokeza mitaani katika miji mbalimbali nchini Bulgaria na kujaza eneo la katikati ya mji mkuu, Sofia...
Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela
Akizungumza Ikulu ya White House siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.