hi i am interested by the etymological database project of Serguei sTAROSTIN
i want to participate in it , bringing infos about african languages to compare them with melano- hindus( veddoids and...
Wakulima wa Ufaransa wapo kwenye maandamano kwa kutupa samadi nje ya nyumba za wanasiasa.
Wakulima kote Ufaransa wamezidisha maandamano yao kwa kutupa samadi nje ya nyumba na ofisi za wanasiasa...
Waziri wa biashara na viwanda wa Somalia Bw. Gamal Mohamed Hassan (Kushoto) na mtangazaji wa CMG Bw. Fadhili Mpunji (Kulia) kwenye mahojiano mjini Beijing, Desemba 18, 2025.
Katika muda wa...
Banyamlenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya ya Uvira jimboni Kivu Kusini (Sud Kivu) mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuacha; tunataka AFC/M23/Twirwaneho. Serikali iko bize kulisumbua jeshi na kuwatesa raia wa kawaida.
Alisema mmoja wa waandamanaji wa amani huko...
Alhaji Aliko Dangote, siku ya Jumapili alidai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Petroli ya Kati na Chini ya Nigeria (Nigerian Midstream and Downstream Petroleum Regulatory...
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino Lopez, amelaani tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango wa kuweka mzingiro wa kijeshi baharini dhidi ya usafirishaji wa mafuta wa...
Polisi wa Australia wamesema baba na mwana waliotekeleza shambulio la mauaji Bondi Beach, Sydney, walichochewa na itikadi ya Islamic State.
Washukiwa ni Sajid Akram, 50, aliyeuawa baada ya...
: Katibu mtendaji wa chama cha PPRD cha rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, Emmanuel Ramazani Shadary amekamatwa jijini Kinshasa.
Taarifa ya chama cha PPRD imesema kukamatwa kwa Shadary na...
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka...
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10.
Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama...
Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu”...
Huyo waziri wa mambo ya nje wa UAE, mwarabu 100% anawaonya westerners na Christians wanao entertain arabs na muslims,
Msikilize mwenyewe, msiseme hamkuambiwa. Hakuna muslim zaidi ya huyo.
Dont...
Kundi la waasi la M23 limetangaza kujiondoa katika Mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa masharti maalumu, likidai hatua hiyo inalenga kupunguza mvutano wa...
Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko...
Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic...
Wadau inaumiza sana hebu soma hapa kwa kiingereza: Rob Reiner mkurugenzi na muandaaji wa filamu maarufu hollywood ambaye ni Myahudi auawa kinyama na mkewe.
Jewish director-actor Rob Reiner and...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, atakutana na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na viongozi wengine wa Ulaya pamoja na wawakilishi kutoka Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya kujihami NATO, kuijadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.