International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ethel Chisono Edwards, anayefahamika mtandaoni kama One Boss Lady, amehukumiwa na mahakama ya Lusaka baada ya kukiri kosa la kuchapisha maneno ya kumdhalilisha Rais Hakainde Hichilema. Hukumu yake...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano...
1 Reactions
2 Replies
230 Views
Moja kwa moja.. Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini . Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar, amejiuzulu mara moja kutokana na sababu za kiafya, Ikulu ya nchi hiyo imethibitisha Jumatatu. Hatua hii imekuja wakati taifa hilo likikumbwa...
0 Reactions
3 Replies
376 Views
Kila mtu mwenye akili alijiuliza pale kanisa katoliki la DRC liliposema linamjua mshindi wa uchaguzi na kutaka serikali isitangaze tofauti na wanaomjua wao, wanaomtaka wao na landa ni muumini wao...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%. Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
MANILA, Ufilipino MAHAKAA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) itaendelea kumshikilia Rais wa zamani wa Ufilino, Rodrigo Duterte, baada ya ombi lake kugonga mwamba. Duterte amekuwa kizuizini...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale...
2 Reactions
12 Replies
814 Views
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amewasili nchini Senegal siku ya Alhamisi baada ya kudaiwa kushikiliwa na jeshi wakati wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini mwake, serikali ya...
2 Reactions
13 Replies
575 Views
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe. 1. Wa kwanza kukutana na panga...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Iran haina maji ya kutosha kwa sababu ya mchanganyiko wa sababu za kijiografia, hali ya hewa, ongezeko la watu, na matumizi mabaya ya rasilimali za maji. Hapa chini ni maelezo kwa ufupi na kwa...
5 Reactions
6 Replies
560 Views
Maaskofu wa kanisa katoliki Zambia wamepinga mabadiliko ya katiba Zambia wakidai timing yake si nzuri kwa sasa tokana na ukosefu wa umeme wa uhakika nakupanda kwa gharama za kimaisha Wamepanga...
2 Reactions
68 Replies
2K Views
Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa...
1 Reactions
8 Replies
339 Views
Juzi Jumapili, Ikulu ya Abuja ilikuwa kimya lakini ndani kulikuwa kwa moto sana. Rais Tinubu alikuwa amewaita wakuu wote wa vyombo usalama: IG Kayode Egbetokun, DG DSS Tosin Ajayi, Chief of Army...
2 Reactions
10 Replies
516 Views
Wanajeshi wa Guinea-Bissau wamemuapisha, Jenerali Horta Nta Na Man kuwa kiongozi mpya wa mpito wa nchi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, , siku moja baada ya...
2 Reactions
11 Replies
500 Views
Top 20 Countries With The Highest Weed Consumption insidermonkey.comDec 30, 2023 4:37 PM Published on December 30, 2023 at 9:37 am by in Business, Industries, Lists, News In this article, we will...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MANILA, Ufilipino (AP) — Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa...
2 Reactions
68 Replies
2K Views
Back
Top Bottom