Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki...
Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi...
Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika...
Mawasiliano yamepotea na ndege binafsi iliyowabeba mkuu wa majeshi ya Libya Jenerali Muhammad Ali Ahmad Al-Haddad na watu wengine wanne waliokuwa wanaelekea Tripoli kutoka mji mkuu wa Uturuki...
Familia nyingi za kizungu wakipata mtoto mmoja shughuli imeishia hapo, wengine huamua kuishi bila watoto (childless)
Mtindo huu wa maisha umefanya kuwe na birth rate inayopungua kwa kasi sana...
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.
Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako...
𝗠𝗮𝗸𝗮𝗺𝘂 𝘄𝗮 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗮𝗺𝘄𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗜𝗖𝗚𝗟𝗥 - 𝗣𝗦𝗖 𝗙𝗿𝗮𝗺𝗲𝘄𝗼𝗿𝗸
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Nchi ya Ethiopia imepiga marufuku na kuondoa makampuni ya kubet nchini mwao.
Hii ni katika harakati za kuwaondoa wananchi na utegemezi na uraibu wa kamari badala ya kufanya kazi za ujenzi wa...
Nchi nyingi zinazonunua ndege za kivita aina ya F-35 huuziwa toleo la kawaida, lenye udhibiti mkali. ni sawa na kununua simu ya mkopo au iliyofungiwa laini ya tigo au yas,
Israel ndiyo taifa...
Mataifa yaliyolemaa kwa kupenda kupokea misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea sasa itabidi yajifunze kusimamia miguu yao wenyewe baada ya mataifa yaliyoendelea kubadili sera yao ya kutoa...
🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake.
Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la...
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.
Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.
Hawa...
Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani.
Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja...
Baada ya kuibuka vita kali kati ya M23 na jeshi la FARDC, likisaidiwa na mamluki kutoka nchi za ulaya na marekani, kundi la FDLR, Kundi la wazalendo, jeshi la Burundi na kundi la Imbonerakure...
Mamia ya wakulima wa Ulaya walijaa mitaa ya Brussels wakipinga makubaliano ya kibiashara ya EU-Mercosur trade . Maandamano yaliyoanza kwa utulivu yaligeuka vurugu, waandamanaji walishambulia...
Discovered reserves of the system are
1.6 billion barrels of oil .
59 trillion cubic feet of gas.
More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal.
Aluta...
Msichana wa miaka sita alilazimishwa kuolewa na mwanaume mwenye umri wa miaka 45 nchini Afghanistan baada ya kuuzwa kwa fedha.
Picha ya kusikitisha inayomuonesha mwanaume mzee akiwa amesimama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.