Famine Ravages Through Somalia.

Famine Ravages Through Somalia.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267


_54022623_012428835-1.jpg
 
Tukifanya Mchezo inaweza kufika na kwetu hilo tatizo la njaa. maana WaTanzania ni Wavivu kwa kazi ya kilimo .....
 
Ab-Tichas, hii ni wapi? is it recent? mmh inatisha jamani na watu tunatupa chakula kila siku
 
Pamoja na njaa yote wasomali hawachi vita! Hawa viumbe hawa ni tatizo they breed like rodent bila kujali hata watoto wao watakula nini!
 
inasikitisha sana. Mungu inusuru TZ Mungu inusuru Afrika.
 
Ab-Tichas, hii ni wapi? is it recent? mmh inatisha jamani na watu tunatupa chakula kila siku

Hii ni mitaa ya Northern Kenya maana kuna kambi za ma-refugee kibao tu huko. It is happening as we speak.
Si unajua kuna drought mitaa ya Kenya na inasogea chini poepole. Bongo wakae kama kujihami otherwise
ngoma itaita tu na wakulu wamelala!
 
Ss nimejua Y afande Sele alisema adui muombee njaan kweli njaa ni noma
 
oook now najua ni kwa nini biashara ya mahindi kwenda kenya this time imechukua chati na kufanya mazao yawe juu. i think tusipoangalia tutaingia kwenye hii situation, kwa jinsi tunavyoshindwa kushughulikia maswala ya umeme
 
DU! HII HATARI,

Watanzania tunadharau kilimo vibaya mno....ukweli nimetokea familia ya wakulima. Kuna tusi nimelisikia watu wakitukana, "we mkulima nini?" au "huyu ka mkulima vile!". Yaani ukulima kanakwamba ni laana, tubadilike jamani. Lasivyo, njaa itatufundisha one day...
 
kilimo kwanza,mbona hata tanzania kuna watu wana njaa mbaya mfano kule manyara porini porini nk
 
aise,mungu atuepushe na hili. njaa noma sana!
 
nionapo Picha kama hizi kwangu huwa situpi hata Ukoko. Ugali ukibaki nanywea chai asubuhi kama kitafunwa. ee mungu wanusuru watoto hawa na njaa.
 
Back
Top Bottom