International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Rwanda Paul Kagame amepotoka kwa kusema Strive Masiyiwa ambaye ni mfanyi biashara kutoka Zimbabwe ashirikiane na Rais mojawapo wa Afrika ili Waafrika waweze kupata vaccine itakapopatikana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu. Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
My Take: Tanzania nasi tupige kitu kama hii tuwe wa-tatu; napendekeza ijengwe Morocco au Magomeni junction. Ili Wakenya watukome tuwe wababe wa miundombinu E.A. Hatushindwi, fedha tunazo.
9 Reactions
55 Replies
8K Views
Marekani imeufahamisha rasmi Umoja wa Mataifa kuhusiana na matakwa yake ya vikwazo kwa Iran virudishwe. Hayo yamepelekea upinzani kutoka kwa Urusi na wanachama wengine wa Baraza la Usalama la...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 13 wameripotiwa kufariki na wengine watatu kujeruhiwa nchini Peru. Watu hao walionekana kukiuka sheria ya kubaki ndani na polisi walitaka kuwakamata Watu zaidi ya 120 walikuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinachojulikana mpaka sasa Mamlaka za New Zealand zinaendelea na msako na uokoaji wa wahanga wa maafa ya mlipuko wa volkano katika kisiwa cha White Island. Taarifa zaidi kuhusu tukio hilo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
New Zealand (AP) — New Zealand on Sunday marked 100 days since it stamped out the spread of the coronavirus, a rare bright spot in a world that continues to be ravaged by the disease. Life has...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Dunia hi Kuna Viongozi Walioondolewa madarakani kwa kufuata katiba,utaratibu na kwa hiari zao,lakini wapi wale Walioondolewa madarakani kwa kuondolewa kwa mapinduzi, kwa nguvu, kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Afrika imegubikwa na matukio ya mapinduzi kwa muda mrefu sasa Toka miaka ya 1950 mpaka 2020 zaidi ya mapinduzi 206 yameshafanyika Tatizo liko wapi? Mapinduzi hayo yote viongozi wengine...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni urithi kutoka kwa wa-holanzi waliotawala nchi hiyo kiholanzi kilikuwa lugha rasmi nchini Afrika Kusini, na wakati Kiafrikani kiliposhika hatamu na kuwa lugha ya taifa bado kiholanzi kilionekana...
13 Reactions
67 Replies
7K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
-Na, Jumaa Kilumbi Baada ya vita ya pili ya Dunia mwaka 1945 Dunia ilipata kiranja mpya wa kuiongoza, kiranja huyo alijipa kazi ya kuchunguza na kutatua kwa maslahi yake Migogoro yote iliyokuwa...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Fredie Blom's identity documents showed he was born in Eastern Cape province in May 1904, although that was never verified by Guinness World Records. When he was teenager, his entire family was...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Nchi zilizo na akiba mingi ya dhahabu 1 United States - 8,133.46 T 2 Germany - 3,363.60 T 3 IMF -. 2,814.04 T 4 Italy - 2,451.84 T 5 France -. 2,436.01 T 6 Russian Federation - 2,299.87 T 7 China...
10 Reactions
84 Replies
15K Views
Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huduma za ibada katika makanisa ya nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), zimerejea baada ya takribani miezi mitano iliyopita. Makanisa hayo yalifungwa kutokana na mlipuko wa virusi vya...
1 Reactions
5 Replies
983 Views
Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Back
Top Bottom