N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Ni urithi kutoka kwa wa-holanzi waliotawala nchi hiyo kiholanzi kilikuwa lugha rasmi nchini Afrika Kusini, na wakati Kiafrikani kiliposhika hatamu na kuwa lugha ya taifa bado kiholanzi kilionekana kuwa na ushawishi.
Zuid-Afrika 'ZA' ikawa ndio kifupisho cha South Afrika badala ya 'SA'
Mwaka 1936 nk ZA ikawa ndo utambulisho kwenye usajili wa magari na hata wakati wa zama za new technology tovuti za nchi hiyo zikawa zinatambuliwa kwa kifupi hicho