Rais wa Belarus: Sitoki madarakani labda mniue

😁😁😁Kujifunza Ndiko Kuliko Kuwa Na Thamani Ya MWANADAMU....

Nchi Si Ya Kifalme...Umekaa Miaka 26...Hivi Kweli Ule MOTO NA ARI YA KULIJENGA TAIFA lako kipindi unaingia madarakani,bado uko vilevile tu?!!!

Hawataki kumkumbuka HOSNI MUBARRAK...
Hawataki kumkumbuka Zine Ali.....
Hawataki kumbuka Omar Al Bashir....
Hawataki Kumkumbuka Mugabe.....
Hawataki Kumkumbuka Gaddafi.....
Hawataki Kumkumbuka Saddam Hussein.......

Basi HAKUNA atakayewakumbusha....Tuache ASILI YA MAUMBILE ichukue mkondo wake ,kwani MUDA si rafiki wa yeyote....
 
Natamani na sisi Watanzania siku moja tungeingia barabarani kwa umoja wetu kuiondoa CCM kupitia nguvu ya umma huku Polisi wetu na vyombo vingine vya usalama vikijiweka kando, na zaidi vikitupa ulinzi wa kutosha wakati wa safari yetu ya kumuondoa Mkoloni Mweusi Nchini mwetu.
 
Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
Neno lake ni ada..watamuua kweli
 
Natamani na sisi Watanzania siku moja tungeingia barabarani kwa umoja wetu kuiondoa CCM kupitia nguvu ya umma huku Polisi wetu na vyombo vingine vya usalama vikijiweka kando, na zaidi vikitupa ulinzi wa kutosha wakati wa safari yetu ya kumuondoa Mkoloni Mweusi Nchini mwetu.
Subiri kidogo abiria atoke ndani..
JamiiForums497226166.jpg
 
Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
Chama chetu hakitoki madarakani labda mkipindue.
 
Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
Ametisha mbaya Mheshimiwa raisi wa huko Belarusi! Hiyo inaitwa bora nife kuliko kuachia hichi kiti!
 
aisee lukashenko anajiamin sana coz anaijua Belarus nje ndan kwaiyo ni kibur ngoja tuone kama ataweza nguvu ya wananchi wake au atakuwa na back up ya mrusi ndo mana kiburi
 
Back
Top Bottom