Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa ni kukamatwa kwa Maduro! Ila ukitumia jicho la tatu kwa kufuata mtiririko ufuatao utagundua ni mchongo ili kuipa hadhi Marekani pamoja na Trump!
Hii ni jana...
Ukisikia unyakuo ndio huu. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais...
Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.
Maduro aliwa na...
WIZARA YA MAMBO YA NJE YA URUSI
“Asubuhi ya leo, Marekani imefanya kitendo cha uchokozi wa kijeshi dhidi ya Venezuela. Hili linatia wasiwasi mkubwa na linapaswa kulaaniwa.”
“Sababu zilizotumika...
Marekani imesema itaingia mzigoni ikiwa itabainika kwa mapolisi wa Iran waliua waandamanaji kwa makusudi.
https://www.instagram.com/p/DTAREQjgYoa/?igsh=MWRnM2d2bnEzeXluZA==
Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali...
Wakuu,
Najua kwa sasa hot issue ni maduro. Hebu tupitie kidogo maisha yake
-----------
Novemba 23, 1962: Nicolás Maduro Moros anazaliwa Caracas, Venezuela, familia yake ikiwa ya wafanyakazi...
Makamu wa Rais mstaafu wa Marekani, bibie Kamala Harris amesema Donald Trump ameivamia Venezuela sio kwasababu ya kutokuwa na demokrasi au biashara ya madawa ya kulevya bali ni kuhakikisha...
Wakuu,
Anaandika Kumbusho Dawson kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Hii ilikuwa mwaka 2019, wananchi wa Venezuela walijaribu kuandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na...
Awali ya yote ukisikia kuhusu VITA na TAARIFA za Vita unakumbuka Maneno ya Mtu Maarufu Gani? na inakupa tafsiri gani?
Mimi kwangu inanikumbusha Maneno ya Yesu alipokuwapo hapa Duniani aliyoyasema...
Trump hajamkamata Maduro kwasababu ya ukiukaji wa Sheria, bali ni kwasababu Maduro ameharibu maslahi ya Marekani yakupata mafuta
Na ndiyo sababu uamuzi wa kumkamata haujapitishwa na Bunge ni...
Kesho Trump anaweza kuwa Shangai Detention Centre ya China😄😄😀😅😆
---
China has called on the United States to immediately release Venezuelan President Nicolas Maduro after Washington carried out...
Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.
Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa sukari huku
Pam Bondi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Marekani anasema kesi ya Maduro itakuwa inasikiliziwa kwenye Mahakama za New York huko Nchini Marekani
Makosa...
Mali na Burkina Faso zimetangaza kuwazuia raia wa Marekani kuingia katika nchi zao, zikieleza kuwa hatua hiyo ni jibu la moja kwa moja kwa uamuzi wa Marekani wa kuwazuia raia wao kuingia nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.