International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mujibu wa Ripoti ya The Washington Post, zaidi ya Maafisa Usalama 130 wamethibitishwa kupata COVID19 na kutakiwa kujitenga. Miongoni mwa majukumu yao ni pamoja na kumlinda Rais Donald Trump...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP ameonya kuwa huenda idadi kubwa ya watu wakakumbwa na baa la njaa mwaka ujao. David Beasley amesema iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa, idadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi limekanusha madai ya kupiga risasi na kuua waandamanaji ambao hawakuwa na silaha Jijini Lagos mwezi uliopita Brigedia Jenerali, Ahmed Taiwo ameliambia Jopo linalochunguza madai ya ukatili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakuwaje wanajamvi! Kuna tetesi huenda mwamba Strongman Vladimir Putin Rais wa Urusi akastaafu Urais mapema 2021. Inasadikika Putin 68, ameanza kuonyesha dalili za Parkinson na kuleta wasiwasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya umeitaka China leo kubatilisha mara moja sheria zake mpya zilizopelekea kupigwa marufuku kwa wabunge 4 waliochaguliwa, ikisema uamuzi huo ni pigo kubwa kwa utawala wa ndani wa Hong...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Something wasn't right. Starting earlier this year, police kept arresting associates of Mark, a UK-based alleged drug dealer. Mark took the security of his operation seriously, with the gang using...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Taifa hilo litaona mabadiliko ya Serikali baada ya miaka 12 kufuatia ushindi wa Mgombea kutoka Chama cha Upinzani, Johnny Briceno (60) Wapiga kura wa nchi hiyo ambayo inategemea sekta ya Utalii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamishna wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN), Michelle Bachelet amesema Ripoti za mauaji ya Raid nchini zinaweza kuwa uhalifu wa kivita, endapo zitathibitishwa Ameagiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zambia had asked bondholders for six month payment deferral Zambia has until market close to pay coupon or trigger default While the coronavirus pandemic added to Zambia’s woes, with the economy...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni hiyo ya Nchini China imeeleza kuwa imeofuta mamia ya video kutokana na ombi walilolipokea kutoka kwa Serikali ya Urusi Takriban maudhui 711 yameondolewa kwenye program hiyo kwa mwaka 2020...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maafisa wa kampeni wa rais wa Marekani Donald Trump wamefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais katika jimbo la Michigan. Wakati huo huo, Jimbo la Georgia limetangaza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
As far back as 1990. The US embassies have been connected with a documented record of greediness which has caused blood shade in many countries particularly in African states in the name of...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wahamiaji wasiopungua 74 wamekufa katika ajali mbaya ya meli iliyotokea katika pwani ya Libya. Shirika la IOM limesema manusura 47 wameweza kuokolewa wakati shughuli ya uokozi zikiendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amesema Wanachama wa juu wa Republican wanadhoofisha Demokrasia kwa kukubali madai ya Rais Donald Trump kuwa Uchaguzi Mkuu ulikuwa na udanganyifu Katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni comment kutoka kwa mwananchi aliyehojiwa na CNN kuhusu tabia "chafu" ya Trump kukataa ukweli kuwa ameshindwa uchaguzi. Reference ya matendo ya "ushenzi" ni third world. Kuvunja katiba...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Joe Biden amesema hatua ya Rais Donald Trump kukubali kushindwa katika uchaguzi wa urais wa wiki iliyopita ni "aibu". Lakini rais huyo mteule wa Marekani- ambaye amekuwa akiwasiliana na viongozi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya jeshi la Azerbajan kuurudisha mji wa Shusha ulio kilomita chache kutoka Steparnek mji mkuu wa Nagorno Karabakh serikali ya Armenia ilikubali kutiliana saini kusitisha mapigano na nchi ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Wizara ya Mawasiliano, Wanajeshi 14 wameuawa katika shambulio lililotokea Jimbo la Oudalan, karibu na mpaka wa Mali na Niger Rais Roch Kabore amesitisha Kampeni zake kwa saa 48...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Back
Top Bottom