International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Visa vipya 33,470 vya COVID19 vimerekodiwa siku moja, ikiwa ni idadi kubwa zaidi tangu kuanza kwa mlipuko huo kwa mujibu wa takwimu za Serikali Kufuatia ongezeko hilo, maambukizi yamefikia...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Habari za leo wana JamiiForums, Natumai muwazima wa afya njema. Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden. Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgogoro wa Nagono Karabakh baina ya Armenia na Azerbajan safari hii umesababisha vita vikali vinavyopelekea Armenia kuelemewa na kuishiwa na nguvu mpaka kupelekea kuwachukua vijana wadogo...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR), lieelezea wasiwasi wake kuhusu mapigano yanayoendelea katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia ambayo yamesababisha raia wengi kutoroka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' ...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Polisi katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Luanda wametumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji ambao wanapinga kuongezeka kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira Watu kadhaa wamekamatwa huku...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Vurugu kati ya Vyombo vya Usalama na waandamanaji waliokasirishwa na uamuzi wa Bunge kumtoa madarakani Rais Martin Vizcarra zimeripotiwa Mji Mkuu wa nchi hiyo, Lima. Polisi wamelazimika kutumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Muungano wa waalimu nchini Zimbabwe umekataa nyongeza ya mshahara ya asilimia 100. Nyongeza hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali kutaka walimu warudi kazini. Walimu wanasema kwamba mshahara wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Posted on November 9, 2020 by State of the Nation Right Click here and Select Save As to Download the Audio file Guests: Lt. General Thomas McInerney, (3-Stars) U.S. Air Force (Retired), Author...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali ya nchi hiyo imekana ripoti za takriban watu 50 kuchinjwa na Wanamgambo wa kundi la Kigaidi katika Jimbo la Cabo Delgado Gavana wa eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa gesi, Valige Tauabo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
10 Most Expensive Things Owned By Former US President Donald J. Trump By CAIRO-MediaNews_SA | Opera News South Africa Published 1 days ago - 2682 views No matter the outcome of the 2020...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Alassane Ouattara na mpinzani wake Mkuu, Henri Konan Bedie wamesema wameamua kufanya mazungumzo ya kuleta aman nchini humo kufuatia wiki kadhaa za vurugu baada ya Uchaguzi Mkuu Kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
China: Dawa mpya tuliyotengeza ina uwezo wa kuzima janga la corona 'bila kuhitaji chanjo' Maabara moja nchini China ambayo imekuwa ikitengeza dawa ya kutibu maradhi ya Covid-19 yanayosababishwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika kuonyesha hataki kuondoka madarakani Rais Donald Trump amefanya mabadiliko makubwa Wizara ya Ulinzi - Pentagon kwa kuweka maofisa waandamizi wapya na kuondoa wale wasiokubaliana naye. Mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Tuujadili ushindi wa Biden kuelekea makubaliano ya Nyuklia ya Iran. Kama tunakumbuka Trump aliiondoa Marekani kwenye makubaliano ya Nyuklia ya Iran na kurudisha vikwanzo vikali dhidi ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wana bodi, Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Umoja wa Mataifa umetaka mamlaka nchini Msumbiji kuchunguza ripoti kuwa wanamgambo wamewaua takribani watu 50 na kuwachinja wanawake na watoto katika mji wa Carbo del Gado Kaskazini mwa nchi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom