Hii ni comment kutoka kwa mwananchi aliyehojiwa na CNN kuhusu tabia "chafu" ya Trump kukataa ukweli kuwa ameshindwa uchaguzi. Reference ya matendo ya "ushenzi" ni third world. Kuvunja katiba, kuvunja sheria, kuvunja taratibu reference ni third world
Kamanda wa majeshi ya Marekani ameapa kuwa waliapa kuilinda KATIBA na si vinginevyo na watatii AMRI halali tu na si MTU!
Kamanda wa majeshi ya Marekani ameapa kuwa waliapa kuilinda KATIBA na si vinginevyo na watatii AMRI halali tu na si MTU!