International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maradhi ambayo yamesumbua nchi nyingi duniani kwa takriban mwaka mmoja sasa iko karibu kutangazwa si tishio tena kwani mataifa mbali mbali yametangaza kuwa na chanjo zilizofanyiwa majaribio na...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, Uchumi, Rushwa na makosa mengine (Hawks) kimemkamata ‘Nabii’ Shepherd Bushiri na mkewe Mary kwa tuhuma za kutakatisha Rand Milioni 102 sawa na takriban...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Kampuni ya Dawa ya Pfizer imesema chanjo yake dhidi ya COVID19 inafanya kazi kwa 95% na haina madhara makubwa kwa watumiaji Taarifa za majaribio yao zimeonyesha Chanjo inafanya kazi kwa asilimia...
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Fugitive Malawian preacher turns himself in to police Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka nchini Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwezi huu kwa kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha. Mchungaji Bushiri, ambaye...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mkutano wa Kitaifa uliomalizika hivi karibuni, Wajumbe wamependekeza Mabunge yote mawili nchini humo kuwa na mamlaka ya kuwashtaki Rais na Makamu wake Vilevile wameshauri ukomo wa mihula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Trump amesema "amemfuta kazi " mkuu wa usalama wa mtandao na shirika la usalama wa miundo mbinu ya uchaguzi (Cisa) Chris Krebs kwa taarifa zake "zisizo sahihi kwa kiwango cha juu " kuhusu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Madaktari nchini humo wameungama kumuomba Rais Donald Trump kutoa taarifa muhimu kwa Rais Mteule, Joe Biden ili kuokoa maisha ya wananchi na kuzuia sekta ya afya kuelemewa. Taasisi kubwa tatu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwendesha Mashtaka Maalum wa kupambana na ufisadi nchini humo, Martin Amidu ametangaza kujiuzulu akisema mamlaka na jitihada zake zinakwamishwa. Katika taarifa yake ameeleza kukosa uhuru katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani nchini Ethiopia kati ya serikali na maafisa wa eneo la Tigray. Kulingana shirika la habari la AFP, maafisa wa serikali ya...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
SHIRIKA la kutetea haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ACAJ), linataka maofisa wa usalama nchini humo kumwachilia huru mwanamziki maarufu Tshala Muana ambaye alikamatwa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga "rushwa na hali mbaya ya maisha". Mtu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirika hilo limezitaka Mamlaka kumuachia huru Pascal Affi N’Guessan na wapinzani wengine ambao walikamatwa siku chache baada ya Mahakama ya Kikatiba kuthibitisha Alassane Ouattara kama Rais...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno. Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Ujerumani imepanda hadi 815,746, baada ya visa vipya 14,419 kuripotiwa siku moja kabla, kulingana na takwimu...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Polish cardinal dies 10 days after being disciplined by Vatican === Cardinal Henryk Gulbinowicz, retired archbishop of Wroclaw, Poland, died Nov. 16 at the age of 98. His death came just 10 days...
0 Reactions
6 Replies
943 Views
Bunge limemteua Francisco Sagasti kuwa Rais wa mpito, akiwa wa tatu kuiongoza Taifa hilo chini ya siku 7. Anatoka Chama pekee kilichopinga kuondolewa kwa Rais Martin Vizcarra madarakani kufuatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom