International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Onyo la WHO limekuja baada ya wataalam wa Shirika hilo la Afya Duniani, kubaini kuwa dawa hiyo haina msaada wowote kwa watu walioambukizwa virusi hivyo. Marekani na mataifa ya Ulaya pamoja na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Ethiopia amemshtumu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus kwa kuwa upande wa Tigray People's Liberation Front (TPLF) ambayo inapigana na majeshi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Veronica Macamo amesema kuna hatari ya mashambulizi yanayotokea Jimbo la Cabo Delgado kusambaa ukanda mkubwa zaidi Amesema zilizopo zilizo jirani zinatakiwa kujihusisha...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Shirika la Afya Duniani(WHO) limetabiri mataifa ya Ulaya kupigwa na wimbi la tatu la COVID19 mapema 2021 Wimbi hilo litapiga kama serikali haitachukua hatua stahiki kama ilivyotokea kwa wimbi la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Obama akiri kufanya jitihada za kuibua machafuko Iran Rais wa zamani wa Marekani amekiri katika kitabu chake kipya kwamba wakati wa utawala wake aliunga mkono kuibuliwa machafuko nchini Iran...
1 Reactions
5 Replies
833 Views
WARNING: GRAPHIC CONTENT In a Carrefour supermarket, 40-year João Alberto dies after security agent kneels on his back for four minutes; protests erupt across Brazil Note from BBT: When I...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Afrika SEHEMU kubwa ilitawaliwa na na waingereza na wafaransa.Nchi walizotawala waingereza kuna utulivu mkubwa wa kisiasa sababu waingereza watu wa principles.Lakini nchi zinazoongea kifaransa...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
IAEA yakiri kuruhusiwa kukagua maeneo inayoyataka ya nyuklia nchini Iran Nov 22, 2020 06:52 UTC [https://media] Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ripoti mpya na kuthibitisha...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia uamuzi uliochukuliwa. Peter Stano ambaye ni Msemaji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shughuli ya kampeni imeanza nchini Cameroon, kwa ajili ya kuchagua waakilishi katika mabaraza ya majimbo, katika uchaguzi utakaofanyika Desemba 6. Uchaguzi huo unaandaliwa wakati kuna tisho la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Taasisi ya kumonitor masuala ya nyukilia duniani (IAEA) ndugu Yukiya Amano, amefariki juzi kwa kile kilichodaiwa ni ugonjwa wa moyo. Hata hivyo Iran inazishutumu Marekani na Israel kumuua...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamia ya waandamanaji wanaopinga Serikali wamechoma moto sehemu ya jengo la Bunge wakipinga Bajeti iliyopitishwa siku chahe zilizopita na kutaka Rais Alejandro Giammattei ajiuzulu Wapinzani...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Priti Patel repeatedly backed company accused of obtaining Nigerian gas contract through corruption Priti Patel repeatedly backed company accused of obtaining Nigerian gas contract through...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Jaji Matthew Brann ametupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Timu ya kampeni ya Rais Donald Trump ambayo ilitaka kubatilisha kura takriban Milioni 7 zilizopigwa kwa njia ya posta Amesema upande wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tibilisi, Georgia Wafa mwenye umri wa miaka 25, na dada yake Maha mwenye umri wa miaka 28, waliwalaghai wanafamilia ya kwamba wanasafiri kwenda mji wa Ranyah, huko Saudi Arabia kumtembelea kaka...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden (78) ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo la Georgia baada ya zoezi la kurudi kuhesabu kura kwa mkono kukamilika Ushindi wake unafanya hii kuwa mara ya...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwanamama huyu alihudumu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wa 66 wa Marekani kuanzia 2005 hadi 2009 Aidha alikuwa Mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuhudumu kwenye nafasi hiyo wakati wa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom