Western countries should learn from China's non-interference policy

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
mmexport1606047803439.jpg
 
Raha yako sawa na ya wachina kuona serikali zikiwaua watu wake, pia serikali ya China inaongoza duniani kwa kuwaua waafrika.
 
China is doing bussiness in Africa while western countries are doing politics
 
Chinese don’t care about human rights, themselves are number one abusers of their own people.
Hawapendi umbeya wewe nyumba ya jirani kama wanatwangana mtu na mkewe wewe kinakuwasha nini?

Western countries ni wambeya kuliko waswahili

Wachina hawapendi umbeya na kuingilia mambo ya nyumba nyingine
 
Hawapendi umbeya wewe nyumba ya jirani kama wanatwangana mtu na mkewe wewe kinakuwasha nini?

Western countries ni wambeya kuliko waswahili

Wachina hawapendi umbeya na kuingilia mambo ya nyumba nyingine
Because their hands are not and they know better if they will poke their nose on other peoples business the smell will come back on theselves.
 
TETESI: NAOMBA NITOBOE SIRI AMBAZO CIA ILISHAZIDUKUA KUTOKA CHINA WACHINA WANA LONG PLAN YA KUJA KULITWA BARA LA AFRICA WATAKAO KUWEPO BAADA YA JAMAA KUFANIKIWA WATAELEZA PIA SUALA HILI HUENDA LIKAJA LETA VITA NZITO SANA DUNIANI
 
Mbona kwenye mataifa ya Ulaya na Marekani ndio watu weusi Wana uwawa na kunyanyasika sana, unaweza kuta visa na vifo na manyanyaso ya mtu mweusi ni vingi vinatokea Uko kwa mwaka kuliko vinavyo tokea Afrika nzima kwa ujumla.
 
China is doing bussiness in Africa while western countries are doing politics
What kind of business rather than stealing and plundering African resources? Though i disagree much on what the president is doing, but on the issue of rejecting Chinese investment in Bagamoyo was 100% right."Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukubali uwekezaji huu bagamoyo"Mr.President
 
Mbona kwenye mataifa ya ulaya na Marekani ndio watu weusi Wana uwawa na kunyanyasika sana, unaweza kuta visa navifo na manyanyaso ya mtu mweusi ni vingi vinatokea Uko kwa mwaka kuliko vinavyo tokea Afrika nzima kwa ujumla.
Huko China wanauawa zaidi
 
What kind of business rather than stealing and plundering African resources? Though i disagree much on what the president is doing, but on the issue of rejecting Chinese investment in Bagamoyo was 100% right."Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukubali uwekezaji huu bagamoyo"Mr.President
Wachina ni matapeli.
Wakikopesha nchi ikashindwa kuwalipa, wanajimilikisha hiyo nchi
 
Wachina ni matapeli.
Wakikopesha nchi ikashindwa kuwalipa, wanajimilikisha hiyo nchi
Na huu ndo ukweli wenyewe,Zambia last week imeelemewa na madeni na kushindwa kulipa,Pakistan imebebeshwa mzigo wa madeni, Msumbiji hvyohvyo nk. na Mchina akikukopesha hela huwa hataki uweke wazi ili dunia isielewe kinachoendelea tofauti na IMF
 
Back
Top Bottom