International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, ametoa muda wa saa 72 kwa vikosi vya mkoa wa Tigray kujisalimisha kabla ya jeshi la shirikisho kuanza kuushambulia vikali mji mkuu wa Mekelle. Waziri mkuu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jeshi la Syria limesema Israel imeanzisha mashambulio ya angani eneo la kusini nje kidogo ya mji wa Damascus kunakoaminiwa kuwa na wanajeshi wengi wa Iran. Hili ni shambulio la pili kufanyika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MTANZANIA JOHN NDUNGURU, anayemiliki kampuni ya Mercy Services of Heath inayojishughulisha na kazi ya kuhudumia wagonjwa majumbani (Home Health Care) nchini Marekani, ametiwa mbaroni nchini humo...
5 Reactions
84 Replies
13K Views
Bunge la Scotland limeupitisha muswada wa kutoa taulo za kike bure. Taulo hizo zitaanza kupatikana katika maeneo yote ya uma ikiwemo shule. Kwa sheria hii itakuwa ni kazi ya serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dunia inajifunza nini Kwa haya yanayoendelea USA? Kama siyo mihimili au vyombo vya utawala vilivyo huru, huru ya kweli, Marekani ilikuwa inatumbukia kwenye udikiteita kama Tanzania, urusi, china...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani WHO siku ya jumanne limezindua mkakati mpya wa kupambana na kuiangamiza Saratani ya kizazi, kwa matumizi mapana ya chanjo, vipimo vipya na matibabu ili kuokoa maisha ya...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Mbabe wa kivita wa zamani ambaye alikuwa akivuruga mtandao wa mawasiliano ya majeshi ya Ethiopia, Debretsion Gebremichael sasa anaongoza mapigano dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ubalozi wa Marekani Iraq ndio pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, ubalozi wa Marekani nchini humo ndio...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Biden lead in Arizona shrinks Mamlaka zimethibitisha kutakuwa ya marudio ya zoezi la kuhesabu kura zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mapema mwezi huu, na mchakato utafanywa kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Twitter will hand control of the presidential POTUS account to Joe Biden when he is sworn in on inauguration day, even if President Donald Trump has not conceded his election loss, US media...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Marekani inataraji kuanza utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa afisa wa juu wa afya katika serikali ya Marekani. Kuanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa misaada wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba misaada ya kiutu inaelekea kuisha katika jimbo la Ethiopia la Tigray baada ya wiki za mashambulio katika jimbo hilo. Msemaji wa shirika...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BEIRUT, Lebanon — A covert meeting between Prime Minister Benjamin Netanyahu of Israel and Crown Prince Mohammed bin Salman of Saudi Arabia would be a historic first, suggesting that the two...
1 Reactions
6 Replies
720 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani chini ya utawala unaomalizia muda wake wa Donald Trump hapo juzi uliitembelea Israel na kuwaunga mkono katika ajenda zao zilizo dhidi ya wapalestina na matakwa...
5 Reactions
71 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kipindi cha miaka mitatu ijayo nchi ya Canada imepanga kuchukua wahamiaji zaidi ya milioni moja laki mbili ili kujaza mapengo ya upungufu wa watu kwenye maeneo mbalimbali na viwandani na...
17 Reactions
125 Replies
17K Views
Vladimir Putin described the Kremlin's decision not to congratulate Joe Biden as "a formality" with no ulterior motives. Russian President Vladimir Putin said he's ready to work with any U.S...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom