Guatemala: Wananchi waandamana kupinga bajeti iliyopitishwa, jengo la Bunge lachomwa moto

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamia ya waandamanaji wanaopinga Serikali wamechoma moto sehemu ya jengo la Bunge wakipinga Bajeti iliyopitishwa siku chahe zilizopita na kutaka Rais Alejandro Giammattei ajiuzulu

Wapinzani wamesema Bajeti hiyo imepuuza athari za kiuchumi kutokana na COVID19 huku ikitoa kipaumbele kwa miradi mikubwa ya miundombinu kusimamiwa na Kampuni zenye mahusiano na Serikali

Ijumaa iliyopita Makamu wa Rais, Guillermo Castillo alionyesha kutokubaliana na Bajeti hiyo akisema yeye pamoja na Rais wanapaswa kuachia madaraka kwa manufaa ya Taifa

=====

Hundreds of anti-government protesters in Guatemala have vandalised and set fire to parts of the Congress building, before being dispersed by riot police.

The building in Guatemala City was empty at the time of the attack, which lasted for about 10 minutes.

The fire services have managed to put the fire out but the extent of the damage is not yet known.

The protesters are opposed to a budget which was approved by Congress on Wednesday night.

They also want President Alejandro Giammattei to resign.

The opposition says the budget prioritises big infrastructure projects to be handled by companies with government connections and overlooks the social and economic impact of the Covid-19 pandemic.

The country has also recently been hit by two damaging storms, Eta and Iota.

On Friday, Vice-President Guillermo Castillo expressed his opposition to the budget and said that both he and Mr Giammattei should step down "for the good of the country".
 
Haya ndo matatizo ya wananchi wakipewa nguvu ya maamuzi yaliyopitiliza.

Akitokea mtu mwenye ushawishi basi anashawishi maandamano na fujo. Mnaweza jikuta kila baada ya miaka mitatu kuna maandamano na fujo kisa kundi flani halipendezwi na mambo flani serikalini.
 
Wapinzani wamesema Bajeti hiyo imepuuza athari za kiuchumi kutokana na COVID19 huku ikitoa kipaumbele kwa miradi mikubwa kusimamiwa na Kampuni zenye mahusiano na Serikali
Hapa hawa jamaa wa Guatemala wanaelewa sera yetu ya CHADEMA kuhusu Maendeleo ya Watu ni muhimu kuliko Maendeleo ya Vitu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom