International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali. Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na...
26 Reactions
78 Replies
6K Views
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameamuru kuondolewa marufuku ya utumiaji wa ukurasa wa mtandao wa Twitter nchini mwake lakini ikiwa tu kampuni hiyo kuu ya teknohama inatekeleza masharti fulani...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ametangaza cheti kipya cha chanjo ya COVID-19 ambacho amesema kitarahisisha kusafiri na kuhudhuria matukio ambayo yanahitaji uthibitisho wa chanjo. “ Wizara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Marekani limesema limewaua wapiganaji 62 wa kundi la kiislamu la al-Shabab kwa mashambulizi sita ya anga nchini Somalia. Mashambulizi manne yaliyotekelezwa siku ya Jumamosi yalisababisha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
June 15, 2010 ‘Is torture ever justified?’: The European Court of Human Rights decision in Gäfgen v Germany Natasha Simonsen is a Rhodes Scholar at the University of Oxford. Previously, she...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China. Putin ametoa sisitizo hilo katika salamu alizomtumia Rais Xi Jinping wa China kwa mnasaba...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa duru...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 2015 nchi zote za EAC zilikubaliana kuwa ifikapo mwaka 2019 nchi zote zipige marufuku uagizaji wa nguo na viatu vya mtumba kutoka nje. Sababu walisema kuwa ni fedheha watu kuvaa mitumba na...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Gary Dennis aliwaambia wanahabari kuwa alionelea ni ''wajibu wake'' wa kimaadili kuwafahamisha maafisa wa usalama. Mtu mmoja nchini Marekani anadai kuwa amepata kanda ya video inayomuonesha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais wa Rwanda Leo ni mgeni rasmi kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 57 ya jeshi la Msumbiji (FADM) Ikumbukwe kuwa jeshi la Rwanda ndio linalopewa kila aina ya sifa kwenye mapigano ya kuwakimbiza...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa Ecuador Guillermo Lasso ametangaza “hali ya hatari” katika magereza yote ya Ecuador, siku moja baada ya mapigano kati ya magenge hasimu ambayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 100...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake? Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana...
10 Reactions
76 Replies
10K Views
Kambi ya wapiganaji wa ASWJ ya Chitama Jimbo la Cabo Delgado imesambaratishwa katika operasheni ya SADC Msumbiji (SAMIM) Magaidi 17 wameuawa. Askari 1 aliokuwa katika operasheni hiyo amefariki na...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom