International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA). “Kwa huzuni na masikitiko...
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Rais Trump wa Marekani: "Nimepokea taarifa muhimu za kijasusi zinazoonyesha kwamba Iran inarejesha tena uwezo wake wa nyuklia - Marekani na Israel zinafuatilia kwa karibu vitendo hivi. Iwapo Iran...
3 Reactions
21 Replies
790 Views
Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika...
2 Reactions
1 Replies
129 Views
Niaje waungwana Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni...
27 Reactions
235 Replies
8K Views
Niaje waungwana Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi. Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya...
12 Reactions
68 Replies
1K Views
  • Redirect
Reuters pia ameripoti kwamba afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Israeli ameiambia kwamba Khamenei amefariki na mwili wake umepatikana.
9 Reactions
Replies
Views
Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata...
1 Reactions
5 Replies
262 Views
Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president...
2 Reactions
8 Replies
372 Views
Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing. Nikakumbuka na vita ya Ukraine na...
2 Reactions
8 Replies
837 Views
Ni chini ya masaa 12 tangu mashambulizi yaanze mida ya saa tatu na nusu kwa saa za Afrika mashariki, Ayatollah na viongozi wakubwa wa Jeshi wameuawa. Habari hizo zilianza kama tetesi mida ya...
3 Reactions
16 Replies
406 Views
Nimeipenda sana hii Kauli ya huyu Mchambuzi wa Aljazeera aliposema namnukuu.... Israel inajua wapi wapige, muda wa kupiga na huwa haikurupuki katika Oparesheni zake zote.... mwisho wa Kumnukuu...
3 Reactions
15 Replies
363 Views
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa...
1 Reactions
10 Replies
332 Views
TAARIFA MPYA: Maafisa wa Israel wamesema jeshi linajaribu kuangusha utawala wa Iran kwamba linalenga viongozi wote wa Iran wa kisiasa na kijeshi wa zamani, wa sasa, na wa baadaye,’ kwa mujibu wa...
3 Reactions
18 Replies
405 Views
Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
2 Reactions
9 Replies
306 Views
Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
3 Reactions
15 Replies
346 Views
Mkumbuke Wamarekani ndio waasis wa HAKI SAWA KWA WOTE. Ule uchaguzi wao ulikuwa ni kuchagua kati ya nyanya mbili mbovu. Wao wakaona bora wachague atleast yenye afadhali maana washaonja ladha...
11 Reactions
17 Replies
586 Views
Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde. Waliposikia ni rais wa...
0 Reactions
3 Replies
231 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna chaguo kadhaa za kupunguza mvutano (off ramps) baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Iran. Amesema: “Naweza kuendelea kwa muda mrefu na...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Nikiwaambia kutwa hapa chezeni na Wote ila siyo Israel hamnielewi. Haya Waziri Mkuu wa Israel aliye katika Avatar yangu kathibitisha kuwa Shambulio lao kubwa katika Makazi ya Kiongozi wa Iran...
6 Reactions
14 Replies
497 Views
Back
Top Bottom