22 February 2026
Jalisco, Mexico
Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa...
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga...
Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia
Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA...
TAARIFA MPYA: Iran imesema itawafundisha Israel na Marekani somo la kihistoria,” ikisema itatoa jibu kali baada ya operesheni ya pamoja ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi yake, kulingana na...
Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York....
Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache...
Wakuu
Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah
"To the members of the Islamic...
TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya...
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari...
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya AI ya Anthropic, Dario Amodei, amesema kampuni yake haitakubali shinikizo kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuondoa vizuizi vya usalama kwenye...
Imagine you are sitting at a table in Geneva. It’s late February, 2026. For months, the world has been holding its breath. You are there to negotiate the limits of Iran’s nuclear and missile...
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna...
Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
Wakuu,
Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran
"Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama...
Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.
China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia...
Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.