Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio.
Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Israel au Iran kuthibitisha kwamba Khamenei amekufa.
Wakati huo huo, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amedai kwamba Rais wa Iran na Kiongozi Mkuu wako ‘salama na wazima.’ Lakini Khamenei hajionekani hadharani wala kwenye video tangu mashambulizi yalipoanza.