Rais wa Marekani Donald Trump aionya Iran!!

Rais wa Marekani Donald Trump aionya Iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Rais Trump wa Marekani: "Nimepokea taarifa muhimu za kijasusi zinazoonyesha kwamba Iran inarejesha tena uwezo wake wa nyuklia - Marekani na Israel zinafuatilia kwa karibu vitendo hivi. Iwapo Iran itaendelea na njia ya kutengeneza bomu la atomiki, tutaishambulia tena Iran. Iran ilituambia kwamba inafanya kazi ya kuzalisha nyenzo za nyuklia za kiraia, si za kijeshi lakini bado macho yetu yanatazama kwao."

IMG_4497.jpeg
 
Moja huu ni Unafiki wa kiwango cha juu, kama wao wanazo kwanini wengine wasiwe nazo ?!!!

Mbili Netanyau amekuwa kwa miaka 33 anadangaya kuhusu IRAN na kwamba bado siku asilimia chache ili awe na Nuclear (ili tu apate sababu ya kuwavamia) ni kama Blair na Bush walivyomsingizia kuhusu Weapons of Mass Destruction...

View: https://youtu.be/Mzmtdwsef8s?si=dgqxI6meIVD88VAV
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata miezi 6 haijaisha wameanza kulalamika

Sasa yale makelele ya nini
 
Rais Trump wa Marekani: "Nimepokea taarifa muhimu za kijasusi zinazoonyesha kwamba Iran inarejesha tena uwezo wake wa nyuklia - Marekani na Israel zinafuatilia kwa karibu vitendo hivi. Iwapo Iran itaendelea na njia ya kutengeneza bomu la atomiki, tutaishambulia tena Iran. Iran ilituambia kwamba inafanya kazi ya kuzalisha nyenzo za nyuklia za kiraia, si za kijeshi lakini bado macho yetu yanatazama kwao."

View attachment 3489692
Hao Iran sio wakuwaachia hata sekunde moja, nikuwabana kona zote wasifurukute. Hawana akili hao wakitengeneza mabomu ya nyuklia watayasambaza kwa magaidi wao.
 
Hao Iran sio wakuwaachia hata sekunde moja, nikuwabana kona zote wasifurukute. Hawana akili hao wakitengeneza mabomu ya nyuklia watayasambaza kwa magaidi wao.
Kama hawana akili mbona sasa hivi hatuoni kuwashambulia maadui zao moja kwa moja kwa silaha walizonazo kama tulivyoona walivyokuwa wakishambuliana na Israeli?
 
Kama alishindwa kwanini wanatengeneza upya kitu ambacho hakikuharibiwa?
Wao Wali haribu ugali lakini jiko, unga, mwiko na maji vipo. Sasa Iran wamewasha moto sehemu nyingine wanataka kupika ugali mwingine.

Huu mchezo hauishi mpaka papikike, irani wanapokea burgers lakini bado wanataka kusonga ugali wao wenyewe, ni swala la muda tu lazima ugali usongwe.
 
Back
Top Bottom