Kufuatia kuuawa kwa kiongozi wa Irani Dunia ya kiislamu imeonesha Umoja wa hali ya juu sana kulaaani tukio Hilo.
Wale waliokuwa wanasema shia siyo waislamu wameaibika!
Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi iwapo vikosi vyake vya usalama vitashindwa kuzuia ghasia za...
Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1...
Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake.
Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al...
Iran amepanic balaa.. hadi sasa hajaweza kudondosha hata ndege moja ya israel kati ya ndege nyingi zinazofanya mashambulizi kwenye anga lake.
Hadi sasa hajaweza kuzamisha hata meli moja ya...
Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la...
Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran?
Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro?
Daaaaah!!!
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi.
Trump...
Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi...
Mpaka sasa Iran wamekuwa wakipapaswa tu licha ya viongozi wote kufutwa, ila wameonywa kama wakishupaza shingo, wajiandae kushukiwa na kipigo ambacho hawajawahi kushuhudia siku nyingine kwenye...
Kupitia mambo anayofanya Marekani kwa kuvamia na kushambulia mataifa mengine kwa watu wengi wanekuwa na maoni ya kutaka kuona China ikijibu mapigo kwa kuishambulia Marekani ?
Je, watu hawana...
Iran huwa inatia huruma sana, imekua mazoea sasa kwa Isael kuteka anga ya Iran na pia kufuta viongozi ake, huyu hapa mkuu wa jeshi ameliwa pia...
Jamaa ni majuha huwa hawajifunzi kwenye chochote...
Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo...
Mambo yanayohusu Marekani na Israel ni uwezo wao wa kijasusi na jinsi wanavyotumia teknolojia yao ya kisasa ya kijeshi kila nafasi inapopatikana. Huwezi kujua kile wanachoweza kufanya mpaka...
Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata...
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo...
Habari ndio hio ndege za Iran zimeshambulia Base za USA huko Gulf pamoja na Iraq, na pia Iran wameangusha ndege ya kivita ya America.
https://youtu.be/pW3xa3eZuU4?si=Mbimlwbq4v-rRN4k...
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii...
Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia
Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa.
Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.