Ikiwa ni chini ya siku moja toka Marekani na Iran wafanye mazungumzo huko Ulaya juu ya kusitishwa kwa program ya nuclear ya Iran Leo tarehe 28/02/2026 Israel na Marekani wameishambulia na...
New York Times inaripoti kuwa Israel itajikita kulenga “maghala ya makombora ya Iran, vituo vya uzalishaji na launchers,”
Huku Marekani ikitarajiwa kulenga “mradi wa nyuklia wa Iran na malengo...
Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah".
Maeneo...
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa...
Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya...
Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake...
Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
Wakati wa hotuba ya rais kwa bunge la Marekani inayoitwa State of union, Democrats wameionyesha dunia kwamba wao ndio tatizo kubwa nchini humo, lakini wao ndio wenye media kubwa hivyo ni rahisi...
Haya mambo bana, unakuta mtaani changudoa malaya kabisa unamuagizia beer na kila kitu ila ukitaja kitimoto anakuambia yeye muislamu. Sasa nchi ya Senegal kwao huko asilimia 97% waislamu ila...
President Boko stated that any official discussions or business deals concerning Botswana’s resources should happen within the country.
He said:
"If there is any business or official engagement...
Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema
''Haina haja ya kupanic kama mnataka...
Wakuu,
Hii skendo ya Epstein naona kila mtu itamfikia tu.
Huyu baba mara ya kwanza alisema kuwa hausiki na kwamba alikuwa anaenda kumtembelea Epstein kama rafiki na hajawahi kushiriki kwenye any...
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi...
Kampuni ya Anthropic imesema haitarudi nyuma katika mvutano wake na US Department of Defense (DoD) kuhusu namna teknolojia yake ya akili bandia (AI) inavyotumika.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...
Rais wa World Economic Forum (WEF), Borge Brende, amejiuzulu wadhifa baada ya kubainika kuwa alikuwa na urafiki na mahusiano na marehemu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa na makosa ya unyanyasaji wa...
Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles...
Ni swali tu wakuu,
Miaka 15 nyuma hili swali lilikuwa ni rahisi sana kulijibu maana Serikali ya Kikwete ingeenda upande wa Marekani maana mahusiano yetu na watu wa magharibi yalikuwa ni kama...
Wakuu,
Nilikuwa nafuatilia huu mjadala wa Zambia na Zimbawe kukataa msaada wa Bilioni 1.7 kutoka Marekani
Kama kuna kosa ambalo hizi nchi mbili wamezifanya katika kipindi hiki ni kukataa huo...
Mnamo tarehe 24 Februari kundi la mujaheddin El Khalq lenye asili ya watu wa KURDI lilivamia makazi ya Ayatollah Khamenei na kuyashambulia kwa risasi.
Idadi ya wanamgambo hao walikua wasiopungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.