Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha...
Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
Biblia...
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kabla ya vurugu na mauaji ya Oktoba 2025, TCRA waliwahi kuchezea mifumo ya utendaji kazi pale ofisi zao kuu za Dar Es Salaam kisha nikawaandikia ujumbe huu wa barua pepe...
✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo.
Kuwa na ndoto kubwa ni jambo...
Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine..
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine
Never
Uvumilivu huo sina
Ni mwanangu toka way back sana,
Sasa tumekuja kuwa na ushkaji mkubwa miaka ya hivi karibuni, mixer wazazi wake wananifaahamu sana. Mimi ni mtu ambae nikizoeana na watu, hamnaga kupoa. Yaani ni...
Serikali imetoa kauli juu ya suala la upotevu wa watoto ambao umekua ukiripotiwa katika Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii ambapo imewaasa wazazi kuwa makini na kushiriki ipasavyo ulinzi wa...
Sio kwamba siwaoni vijana wa kiume omba walio jazana kila kona .
Ila taifa leo lina omba omba wanawake , kwa kigezo cha mapenzi zaidi ya wakoma, halafu wanaona ni kawaida tu wala hawana aibu🤔...
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata
Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka Agosti, 2026 ameendelea kuwafikia Vijana wa Kitanzania safari hii akitia nanga katika Kijiji cha Makunda, Mkoani Singida...
Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa...
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.
Mambo...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu.
Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio...