papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,303 Reaction score 1,956 Aug 26, 2026 #1 Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari? Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo?
Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari? Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,552 Reaction score 29,399 Aug 26, 2026 #2 Ebu wataje....hao wawili tuu ndo useme hivyo
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 10,861 Reaction score 34,467 Aug 26, 2026 #3 Tanganyikans are not safe anymore
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,109 Reaction score 28,499 Aug 26, 2026 #4 papag said: Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari? Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo? Click to expand... Tutajie na seminari zenyewe na miaka waliyopitaamoo!
papag said: Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari? Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo? Click to expand... Tutajie na seminari zenyewe na miaka waliyopitaamoo!
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,816 Reaction score 60,195 Aug 26, 2026 #5 Kwa hiyo ndio unasemaje hapo? Kuwa wamesoma seminary ili wapambane na nani Hizi chokochoko hizi