Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
4 Reactions
5 Replies
378 Views
Naomba nikujulishe kwamba: 1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea 2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest 3...
20 Reactions
41 Replies
966 Views
Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi! Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
3 Reactions
5 Replies
84 Views
RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola...
1 Reactions
3 Replies
57 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na...
1 Reactions
2 Replies
47 Views
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026 Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na...
2 Reactions
16 Replies
455 Views
guest-1787486720
Habari ndugu zangu, naomba msaada. Niliwasilisha ombi la mafao ya mkupuo (lump sum) NSSF tarehe 31 Julai, na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutoa alama za vidole tarehe 10 Agosti katika ofisi ya...
2 Reactions
23 Replies
498 Views
●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Serikali imeanzisha mfumo wa point kwa madereva wanaovunja sheria za barabarani. Lengo ni rahisi: ukifanya makosa, unapunguziwa point; ukizidisha makosa, leseni yako iwe hatarini. Lakini hii ni...
9 Reactions
14 Replies
124 Views
Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sana😂. Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo...
1 Reactions
10 Replies
165 Views
📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa...
1 Reactions
1 Replies
70 Views
GLOBAL LEADERS AND DEVELOPMENT PARTNERS VOICE SUPPORT FOR THE AU CHAMPION’S MATERNAL AND CHILD HEALTH AGENDA High-Level Heads of State Side Event UNGA81 | New York | 23 September 2026
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Nimekuwa Kama Kichaa Kwa Mawazo… Wakuu, kuna kipindi maisha yanakufikisha sehemu ambayo hata wewe mwenyewe hujielewi tena. Unaamka asubuhi, mwili upo lakini akili iko sehemu nyingine. Unajaribu...
2 Reactions
0 Replies
35 Views
Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika...
1 Reactions
5 Replies
77 Views
Ewe Mzazi Somesha mtoto kwa gharama Nursery lipa ada (mwaka 1) Primary lipa ada (miaka 6) Secondary lipa ada (miaka 4) A-level lipa ada ( miaka 2) Chuo lipa Ada (miaka 3) Wastani wa ada na gharama...
11 Reactions
21 Replies
246 Views
Kila mwaka,wamiliki wa magari ya daladala hupeleka vyombo vyao ili kupasishwa kuendelea kufanya route zao (kubeba abiria) Ajabu zile gari sijui huwa zinakaguliwa na vipofu au watu wa aina gani...
1 Reactions
5 Replies
48 Views
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
26 Reactions
87 Replies
4K Views
Wakuu nauza mwani na biadhaa zake mfano mafuta,sabuni vidonge n.k.kama unalijua soko ndani na nje ya nchi karibu tufanye biashala.
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…