Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Tunaomba viongozi wa Serikali walitazame kwa umakini changamoto ya usafiri katika eneo la Songwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini. Huduma za Bajaji ambazo awali ziliturahisishia usafiri zimesitishwa, na...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
Wakazi wa Makuburi, ninaomba msaada kuhusu moshi unaotolewa na kiwanda cha Mkapa Export kuanzia asubuhi hadi usiku, unatuathiri sana sisi wakazi, lakini mpaka sasa hatujaona hatua zozote za...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous
Maafisa wa Manispaa ya Ilala wanapita kudai service levy, lakini kwa wale ambao hawajalipa, wanadaiwa kuchukua leseni za maduka na kuziondoa pamoja na fremu zake ukutani. Wanasema leseni hizo...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
1. Mpira 2. Uchawa Mpira Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa...
3 Reactions
11 Replies
154 Views
Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
3 Reactions
4 Replies
79 Views
MAANA YA MWANAUME KIBAILOJIA Kibaiolojia, mwanaume ni kiumbe binadamu wa jinsia ya kiume ambaye anafafanuliwa kupitia sifa zake za kijenetiki, homoni, na viungo vya uzazi. Sifa Kuu za Kibaiolojia...
4 Reactions
12 Replies
148 Views
Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza. Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye...
2 Reactions
13 Replies
98 Views
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira (katikati) na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (wa pili kutoka kulia) wakikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Wakuu nilikua natafakari jambo hapa, hivi umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu? 🤔🔥 Kuna wanaosema mapenzi ya kweli huonekana wakati wa shida, lakini wengine huamini...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani Mwanangu alipanic vibaya sana...
14 Reactions
116 Replies
1K Views
Wakuu Hivi inakuwaje mtu unajipost tu ghafla watu waaanza kusema "oooh mbona umeisha hivyo, huli?" "Mbona umenenepa sana?" "Duuh mbona umebaki kichwa tu?" Hii tabia inakera sana wakuu ifikie...
3 Reactions
3 Replies
128 Views
1.Anaringa ana hela ,hela ndio zitamzika? 2.Utakufa utaziacha 3.Kama huna Yesu ni Kazi Bure My Take Tutafute pesa Ili kuondoa umaskini kwenye jamii,hiki ndio chanzo Cha mihogo zmajungu na...
0 Reactions
10 Replies
146 Views
Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni...
13 Reactions
46 Replies
776 Views
Salam wana JF, naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa juu ya uonevu unaofanywa na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) juu ya baadhi ya wafanyakazi wenzetu ambao wanaonewa na hawana...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta...
1 Reactions
1 Replies
45 Views
Kashfa ya Jeffrey Epstein ni moja ya mifano ya wazi zaidi katika historia ya sasa inayodhihirisha jinsi fedha, ushawishi wa kisiasa, na mamlaka vinavyoweza kutumika kuficha uhalifu mkubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Back
Top Bottom