Natafuta Mtaalam Mganga Arusha.

M45

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
917
1,036
Habari.
Natafuta mganga mkweli ndani ya Arusha nina tatizo linanisibu sana malipo yatafanyika baada ya tatizo langu kuisha.

Kama uko arusha na unamjua mganga mkweli PM

Thanks.
 
He! Hakuna hiyo......lazima utoe advance......
Mimi ni mganga na natibu mpaka basi.....Ila lazima ulipie huduma.......hakuna namna nyingine.......
 
Niat
He! Hakuna hiyo......lazima utoe advance......
Mimi ni mganga na natibu mpaka basi.....Ila lazima ulipie huduma.......hakuna namna nyingine.......[/QUOTNitajuaje kama ww ni mkweli kama nikikulipa kabla?
 
Funguka tatizo lako.

Pengine utasaidiwa hapa jamvini bure.

Hao Waganga watakudanganya na kukulaghai ili wakuchukulie Pesa yako kiurahisi
 
Back
Top Bottom