Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,946
- 4,828
Habari wanajf
Katika fikra zangu za kila siku hatimae nimegundua hili,
Mtaji mkubwa wa utajiri ni ustaarabu, ukitaka ujenge utajiri kwanza kuwa mstaarabu, jenga kizazi kilicho na ustaarabu hata kama utajiri hukuufikia wew basi kizazi chako kinaweza kuufikia
Ukiwa si mtu mlevi, ukiwa si mzinzi, ukiwa si mwizi, ukiwa mtu mwenye kuheshimu vitu vya watu, ukiwa mtu mwenye kuviheshimu vitu vyako na kuthamini jasho lako hapo ndipo utajiri huanzia na hili ndilo tunakosa miongoni mwa waafrika wengi
Afrika ikitokea baba alikuwa na kijiuwezo fulani ni nadra sana watot kuweza kusimamia na kuendelea alipoishia, tunasema ni watot wa kishua wao wanachowaza ni ku-drive tu na kula bata (ustaarabu zero)
Ukienda miji ya wenzetu imestaarabika sana, kwanza jambo la kwanza watu wake ni wastaarabu
Tanzania yetu tunalia sana umaskini lakin pia tunajisahau kwamba ustaarabu ni zero
Licha ya kuwa Tanzania yetu ajira ni shida kwa vijana na mitaji ni tatizo lakin kijana huyohuyo itokee aigumie milioni uone hiyo fujo yake[emoji23][emoji23]
(Sio kwa wote lakini) lakini point ni ileile ustaarabu zero
Bongo unaweza ukapanda mti road kwaajil ya kupata kivuli kipind cha jua kali lakini hatimae mti ukaishia kuwa mkaa (ustaarabu zero)
Na hii point ya ustaarabu yatakiwa ku- play part from the system up to the lowest level
Basi naamin utajiri utakuja wa nchi hadi wa mmoja mmoja
Ngoja nikanunue mihogo kwanza nipige pasi ndefu huku nikisubir kuulizwa we utajiri wako upoje?