Mapenzi vs uchawi

Mapenzi vs uchawi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,982
Reaction score
67,618
Hellow

Naomba kujua kuna husihano wowote kati ya mapenzi na kuloga katika mapenzi na maana kwamba yaani umloge mtu ili akuoe au umuoe?

Hasa watoto wakike wana amini kila mtu akiwa kenye mahusiano lazima amloge ili mahusiano ya dumu je kuna ukweli wowote ule naomba nijue ilo
Kwaza
 
Nyie vijana wa Tz ngono ndo mnawaza 24/7 Muda Mwingine fatilia hata habari za Maisha ngono sio chakula Mkuu

Mbona mnadata Mapema huu Uzi wa kumi tangu Ahsubui wewe ni ngono tu mara mapenzi duu! Tutapata katiba Mpya kweli katika vijana wa hovyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona sijagusia ngono hapo kabisa
 
utaloga wangapi mahusiano yenyewe hayadumu?? hata huyo mganga utamchosha
 
Hellow

Naomba kujua kuna husihano wowote kati ya mapenzi na kuloga katika mapenzi na maana kwamba yaani umloge mtu ili akuoe au umuoe?

Hasa watoto wakike wana amini kila mtu akiwa kenye mahusiano lazima amloge ili mahusiano ya dumu je kuna ukweli wowote ule naomba nijue ilo
Kwaza

Uhusiano ni kwamba wachawi nao wana target zao kwenye ndoa
 
Wenye shida njooni inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida yoyote
Mapenzi etc
 
Back
Top Bottom