Kwa wale waliowahi au wanamjua mganga wa jadi msaada wenu

CuteJancs

Senior Member
Dec 30, 2018
163
177
Habari zenu wana Jf, sijawahi wala kufikirika kwenda kwa mganga lakini kwa haya ninayoyapitia na yanayoendelea kuikuta familia yetu naombeni mwenye kumjua mganga haswa na sio kanjanja maeneo ya bagamoyo au maeneo mengine AniPM au anipe direction hapa

Hapa nimeomba kwa anaemfahamu mganga tu sitaki ushauri wa mtu kuhusu msimamo wangu huu, please kwa anaemjua tuwasiliane Niko serious,.. jamani narudia sitotaka ushauri wa mtu kuhusu huu uamuzi wangu
 
Nenda njombe kwa mwandulami ila anagharama sana ila matibabu uhakika ndio wakinga wanakoponea umasikini na kila kitu.

Ukitaka gari google muoneshe anakupa masharti safi utapata hitaji lako nk.

We nenda tu mueleze shida zako,
 
Amehama Makambako?
 
Back
Top Bottom