Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,363
6,903
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k

Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu hayaishi mapema.

Tuje kwetu sisi wanaume
Unamtafuta mwanamke kwa gharama zote mwisho wa siku ukinyandua tu mara kaswende, mara AIDs

Unatumia hela nyingi kwa mwanamke papuchi hupewi anakujakupewa mtu mwingine . Tena bure

Unaenda bar unatumia laki mbili kwa siku wakati kipato chako kwa siku 5000.

Unaazima gari la mtu kwenda kujionesha mara limepasuka kioo. Unakuja kulipa na vingenevyo ambavyo hujaviharibu.View attachment 2951316
 
Attachments

  • Screenshot_20240402-090223_1.jpg
    Screenshot_20240402-090223_1.jpg
    360.6 KB · Views: 3
1. Enzi hizo SOKOTA pale mbele ya Tazara Flyover, kuna Bar inaitwa Sugar Ray. Aisee, asante Mungu nilihama Mbagala.

2. Corner bar (Ambiance) pia nimefanya vitu ambavyo asubuhi nimejimaind sana.

3. Niliendaga Njombe from Dar na gari, ambalo hata service sijalifanyia. Kwanza wese tu nilitumia zaidi ya 400k kwenda na kurudi. Pili, nilivyorudi ilifanyiwa service zaidi ya Million 1 na kidogo.

Kisa tu nilikosa gari la moja kwa moja nikawasha chuma. Kumbe ningeunga unga ningefika safi kabisa kwa robo bei.
 
1. Enzi izo SOKOTA pale mbele ya Tazara Flyover, kuna Bar inaitwa Sugar Ray. Aisee, asante Mungu nilihama Mbagala.

2. Corner bar (Ambiance) pia nimefanya vitu ambavyo asubuhi nimejimaind sana.

3. Na mwisho niliendaga Njombe from Dar na gari, ambalo ata service sijakifanyia. Kwanza wese tu nikitumia zaidi ya 400k kwenda na kurudi. Pili, nilivorudi ilifanyiwa service zaidi ya Million 1 na kidogo.

Kisa tu nilikosa gari la moja kwa moja nikawasha chuma. Kumbe ningeunga unga ningefika safi kabisa kwa robo bei.
Pole mkuu
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi hiyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia hata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Direct to the point mkuu Mimi kwenye mitongozo huwa sivungi na huwa sipendagi show off...

Sio kwamba sijawai fanyiwa uharamia in my life time nimewai 😅😅😊😊
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
😂😂😂
 
Huyu demu niliona classy sana. Nikasema ngoja niende nae kiushua ushua. Sasa hela ya kula week nzima yeye anakula mara moja.
Nimemkumbuka CHIZI MAARIFA kwenye Uzi wake..

Ila CHIZI MAARIFA yeye Alifanya bonge la COME BACK aka revenge kihuni 😊😊😅😅

Mimi kwenye ujana wangu nilichukia Sana MALAYA na wanawake wenye tamaa..

Mtu akionesha kuvutiwa na pesa ama material things moyo huwa unapoa kwake kinachofuatia Ni DEUCES
 
Nimemkumbuka CHIZI MAARIFA kwenye Uzi wake..

Ila CHIZI MAARIFA yeye Ali fanya bonge la COME BACK aka revenge kihuni

Mm kwenye ujana wangu nilichukia Sana MALAYA na wanawake wenye tamaa..

Mtu akionyesha kuvutiwa na pesa ama material things moyo huwa unapowa kwake kinacho fuatia Ni DEUCES
ni hatari sana mkuu wangu
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.

Ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.@dronedrake Intelligent businessman
 
Back
Top Bottom