Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu mweusi anajifanya mjuaji na mwenye akili nyingi huku kwa uhalisia ni kinyume chake. Mtu mwenye akili ndogo au tahira Ishara yake kubwa ni kuendeshwa kwa mihemko na misisimko kuliko fact. Mtu...
5 Reactions
29 Replies
661 Views
https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega...
5 Reactions
82 Replies
1K Views
Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi...
18 Reactions
208 Replies
4K Views
Wakati mwingine, watu unaowaamini wanaweza kuwa ndio wanaokuingiza kwenye matatizo makubwa maishani. Musa Makanga, mwendesha bodaboda wa zamani, anasimulia jinsi alivyosalitiwa na mtu ambaye...
2 Reactions
3 Replies
283 Views
Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
1 Reactions
20 Replies
480 Views
Artemis II: Safari hatari na ya kihistoria, binadamu wanarejea Mwezini baada ya miaka 50. Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 50, binadamu anarudi Mwezini, akisafiri zaidi kutoka Duniani...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo. Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila...
52 Reactions
836 Replies
204K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mabibo Sahara, kero yangu/yetu wakazi wa huku tunachangishwa pesa za ulinzi shirikishi kwa maelekezo ya mwenyekiti, shida siyo kuchangishwa fedha kwa ajili ya ulinzi shirikishi...
3 Reactions
3 Replies
188 Views
Anonymous
Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika...
2 Reactions
4 Replies
126 Views
Anonymous (1648)
Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Tujuzane matukio au vitu tulivyoona au kukutana navyo kwa waganga wa jadi au Kienyeji vya kutisha na kuchekesha, Na hii itawafunza Wengine ambao wanategemea kwenda au ambao hawajui kinachoendelea...
7 Reactions
37 Replies
8K Views
Poverty remains a persistent challenge in the Muslim countries in the world. 1.Somalia GDP per Capita $416 2.Yemen l GDP per Capita $676 3.Syria l GDP per Capita $537 4.Sudan I GDP per Capita...
2 Reactions
34 Replies
861 Views
Hii taarifa imekaaje maana ina trend sana mitandaoni!
4 Reactions
39 Replies
894 Views
Wakuu twende katika hoja. Latra walisema asitokee mtu akapandisha bei ya nauli mpaka mamlaka ikae. Baadhi ya vyombo vya usafiri vimepandisha nauli. Kama vile bodaboda, bajaji na mabasi. Kabla ya...
8 Reactions
9 Replies
438 Views
‘CNG’ ni nini? ‘CNG’ au kwa kirefu ‘Compressed Natural Gas’ (Gesi asilia iliyohifadhiwa kwa mgandamizo mkubwa)ni nishati inayoweza kutumika kama mbadala wa petroli, dizeli na gesi ya kupikia...
29 Reactions
116 Replies
16K Views
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu...
3 Reactions
6 Replies
470 Views
Back
Top Bottom