Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii...
Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu...
Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na...
Maisha yanaweza kutafsiriwa kutoka katika angles nyingi, inategemea uko wapi, kuna hii fasiri ya "maisha ni muujiza"
Nini kimewahi kukutokea katika maisha yako mpaka leo hauamini?..kuna visa...
Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku...
Aprili Mosi, tumepokea taarifa ya EWURA kuhusu bei mpya za mafuta, ambazo zimeonyesha ongezeko kubwa. Baada ya taarifa hiyo kuenea na bei mpya kuanza kutumika, sauti za malalamiko kuhusu makali ya...
Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza...
Hapa namaanisha kwamba.
Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki...
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete...
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji
Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na...
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti...
1.Usiende moja kwa moja nyumbani unapotoka makaburini.. Simama kidogo mahali zuga kwa muda kidogo then nenda kwako
2. Usiweke alama ya KARIBU nyumbani kwako si kila mtu ni wa kukaribisha na hapo...
Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.
Kama...
Dkt. Eveline Wilbard Munisi, Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI na Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya NCCR ameteuliwa na Rais kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, alisema kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanya mikutano na wananchi kwa lengo la kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.