Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumeshajua serikali ya Tz haina hela, sio kwa kukopa huku, wanajikaza tu Ni vyema nchi iwe na priorities, Sasahivi anzeni ku invest kwenye maisha ya wananchi Watanzania hawana ajira Hakuna...
3 Reactions
3 Replies
153 Views
Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa...
17 Reactions
41 Replies
2K Views
Route nyingi huku Dar bajaji zimepandisha bei zao jero au hata zaidi. Kwanza bajaji kupandisha bei kunaeleweka kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta na ni sawa kabisa. Lakini kiasi...
6 Reactions
14 Replies
283 Views
Ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kama taifa kuwa na mifumo ya kiteknolojia lakini ufanisi wake ni wa ki analogy tena ya miaka ya 1990 Leo hii mtanzania unaomba passport ya kusafiria unakuja...
3 Reactions
3 Replies
166 Views
Ushahidi wa vinasaba unaonyesha kwamba Shroud of Turin huenda ina uhusiano na India — takribani asilimia 40 ya DNA ya binadamu iliyopatikana juu yake inatokana na maeneo ya Indus Valley...
3 Reactions
25 Replies
514 Views
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA. Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi...
26 Reactions
86 Replies
5K Views
Nguruwe ndiye mnyama pekee shambani ambaye hafanyi kazi; anakula bure, analala bure, Matibabu Bure, usafi bure na anaishi kwenye joto. Nguruwe akimtazama mfugaji na anafikiria 'Huyu binadamu...
8 Reactions
18 Replies
383 Views
Picha mpya ya Dunia imepigwa kutoka Artemis II.
31 Reactions
86 Replies
2K Views
  • Redirect
UKWELI AMBAO HAKUNA ANAYEKUAMBIA KUHUSU KUOA SINGLE MOTHER Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huingia kwenye mahusiano na single mothers kwa moyo wa huruma na upendo, wakiamini...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Nataka niwaeleze vijana , ni jinsi Gani mtu anaweza kujijengea utajiri ambao unaitwa health na kuweza kubaki na utajiri huo kwa muda mrefu kupitia kuwekeza maeneo mbalimbali kama Stock, stake, TB...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
19 Reactions
129 Replies
14K Views
  • Redirect
Naona mitandoa yote tuna log in bila VPN, vipi ni mabadiliko au Hile mitando pendwa Jamii forum X N.k
0 Reactions
– Replies
– Views
Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Katika maisha kuna nyakati za kushiba na nyakati za kuona njaa. Kwa sababu hiyo inawezekana Pasaka ya mwaka huu imekukuta huna pesa ya kutosha lakini bado unatamani kuisherehekea kwa furaha. Kama...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Amini nakwambia... Watu huwezi Kuta wanaongea hivyo ila mioyoni mwao wamejifunza in Hard way.... Hata ikitokea wanakuja kuweka Running mate, lazima karata zao watazichanga vyema sana. Watu...
25 Reactions
76 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Dkt. Habib Suluo wakati wa kufunga semina ya siku mbili ya waandishi wa habari iliyofanyika Kibaha, Mkurugenzi Mkuu wa LATRAamesema...
2 Reactions
10 Replies
347 Views
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii...
13 Reactions
72 Replies
2K Views
Back
Top Bottom