Hello April born babies.🥰
Kila mwaka ikifika mwezi kama huu Huwa nakuwa na furaha sana.
Huu ni mwezi wangu wa kuzaliwa na Huwa naufurahia sana.
Naendelea kukua na kuwaza mambo makubwa zaidi...
Wilaya ya Bunda maafisa utumishi na TSC wanawasumbua walimu waliojiendeleza na kuwa na sifa ya kubadili miundo yao katika ajira kama kutoka daraja la IIIA au IIIB kwenda IIIC.
Mtumishi...
BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF.
Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY..
nikalazimika kulipia...
Heri ya Sikukuu ya Pasaka
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawatakia wananchi wa mkoa wa Mara na Watanzania wote kwa ujumla Pasaka njema iliyojaa upendo, amani na...
Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua
Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN
Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii...
Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na...
My take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri...
Watu wameacha kujadili mambo ya msingi wametolewa kwenye kujadili matukio muhimu ya kitaifa wanajadili sehemu za siri.
kuna vitengo maalumu vya kutengeneza matukio ya mchongo..ili kuwatoa watu...
Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa.
Kwa Nini Hili Ni Muhimu
Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu:
kuwa mtoto mwema
kufuata...
SEHEMU YA KWANZA 1
Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty.
Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya...
Mathayo 2:2
Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
Katika maisha ukiona watu wanakuchukia bila sababu una moyo wa...
Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo...
Neno Dogma ni kuamini bila kutumia mantiki; ni aina fulani ya kufundishwa au kupandikizwa imani bila kuhoji.
Wakristo wengi wanasema Yesu na Baba ni Mungu mmoja yuleyule. Lakini hilo halileti...
Kheri ya pasaka.
Ndugu zangu tuendelee kuwaombea watu wote ambao wanalipambania Taifa letu liweze kuwa Taifa la usawa ,haki amani pamoja na Upendo mfano wa watu hawa
Balozi Humphrey Polepole
Mh...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
Zanzibar
05 Aprili, 2026
Baruapepe: press@ikulu.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MOTO...
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa.
Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na...
Hii app inasumbua sana sijui imetengenezwaje
-time out
-server error
-failed to connect to server
Unaweza useme kunashida ya internet lakini si kweli app n shida hasa kwen kurefressh na kulog in
Wakuuu,
Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam.
Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko...
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani sambamba na Kampeni ya Kitaifa ya Upandaji Miti, Mkoa wa Lindi umeanzisha mjadala mpana wa wadau kupitia Jukwaa la Biashara kwa Biashara (B2B)...
Na Mwandishi Wetu, Nzega.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imeipongeza Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One kwa kuwa kinara wa juhudi za upandaji miti ili kurejesha misitu iliyoharibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.