Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini...
Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo...
Jumanne itakuwa Siku ya Mitambo ya Umeme, na Siku ya Madaraja, zote kwa pamoja nchini Iran. Hakutakuwa na siku mfano wa hiyo !!! Fungueni hiyo Mlango wa Bahari sasa hivi, enyi vichaa, la sivyo...
“UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter.
Baadhi ya Wakazi wa Moshono...
Mkoani Shinyanga katika Kituo cha Afya Samuye kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, wahudumu wa afya wamekuwa wakitoza Wagonjwa pesa Shilingi 20,000 pindi wanapokifungua wakidai...
Nimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina...
Habari Wana jamii forum,
Nina kanuni za kutengeneza mafuta ya Petroli, Dizeli, Jet A1, na Kerosene. Hii ni teknolojia ya kisasa inayoweza kubadilisha namna tunavyofikiri kuhusu nishati na...
1. Gereza la Ngwalla, Chunya
Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka.
Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui...
MAMBO YANAYO WA KWAMISHA WANAUME WENGI KUTOFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO
Wanaume wengi wanashindwa kufanikiwa katika maisha yao sio kwamba wamekosa vipaji au bahati
bali wanakosa mipango...
Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge?
Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu...
Laana ni nini?
Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na;
1. Kuwa na maisha yasiyo zaa
2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha)
3.Kufa, hapa namaanisha...
Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa.
Ni hatari kwa maisha ya watu?
Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
Habari wakuu
Naomba usipuuze ni kwa ajili yako na sote
Nitakuwa natoa Updates ujumbe ufike please usipuuze
ANUNNAKI: MIUNGU YA UONGO ILIYOTOKA NJE YA FIRMAMENT – UKWELI USIOFICHIKA
Katika...
Hii ndio uozo mwingine wa taasisi za serikali nchini.
Ona hawa TCRA. Wana page kwenye website yao kwamba ikiwa una malalamiko dhidi ya kampuni yeyote ya mawasiliano nchini basi watumie ujumbe...
Wana jf hamjambo?, hapa katikat iliibuka dini mpya ya wakrislam, nipendekeze mjumbe wake awe IPM
Nanauka hujambo? Nliwah kutaman uwe na uwezo flani hiv na maono ngazinya wizara kama waziri sio...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katika Parokia ya Kagunguli Bunda Mkoani Mwanza, kijana mmoja alivamia Kanisani kwa nia ya kumuua au kumjeruhi Paroko wakati wa adhimisho la misa takatifu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.