Mimi ni mmojawapo wa Vijana wa Kitanzania niliyepo Israel nikiwa ni mnufaika wa Programu ya kuongeza ujuzi kwa Ufadhili wa Serikali ya Tanzania.
Tupo vijana wa kitanzania zaidi ya 100 ambao...
Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika. Katibu Mkuu wa Chama tawala cha UDA nchini Kenya Hassan Omar Hassan hivi majuzi alitembelea...
Wakuu,
Jengo la Mahakama ya Mwanzo ya Lugoba, iliyopo Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, limeteketea kwa moto usiku wa Aprili 6, 2026 (mida ya saa 5 za usiku) huku chanzo cha moto huo kikiwa...
Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi...
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao?
Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa.
Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa...
BEN MTOBWA..Pengine ni mwandishi bora zaidi wa vitabu vya kiswahili aliyewahi kuishi...
.........."Kwanini umefanya hivyo, Joram?" Nuru aliendelea kufoka.
Joram, ambaye alionekana kimawazo yuko...
Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza...
Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na...
Kila mtu anataka maisha yabadilike—mapato yapande, heshima iongezeke, maisha yawe bora. Lakini ukweli ambao wengi wanaukwepa ni huu: mabadiliko makubwa hayawezi kuja bila maamuzi magumu.
Unataka...
Hheee! Kheri ya Mwaka mupya! Happy valentine Nye Nye nikawamiss Nye nyee.
Sikieni walahi sasa mambo kidogo huyu yapoa. Presha inepungua kidogo. Sasa apata usingizi na ahueni. Alhamdullah sio kama...
HUU NI UTAJIRI UNAOWEZA KUMPA MTOTO WAKO NA KUENDELEA KUKUOMBEA MAISHA YAKE YOTE KWA MUNGU.
1.Mfundishe mtoto wako kumjua Mungu kupitia matendo yako, maana watoto wanakifuata kile wanachoona kwa...
Huwa natamani sana niwe kama ma greatthinks wengine
Tatizo ni kwamba mimi ni mtu wa makhsiara sana naweza nikatunga hoja yenye point ila ninapo type kwenye keybord zangu nikafika hadi nusu ya...
Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata...
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara na stahiki nyingine za waratibu wa Press Clubs ambazo zilitakiwa kulipwa hadi kufikia Desemba 31, 2025.
Mishahara hiyo ya miezi minne...
Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita...
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke
Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo...
Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu.
Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.