Habar za majukumu poleni na kazi ngumu ya kujenga taifa na kufichua uovu.
Mimi ni mfanya kazi na nimepita sehemu mbali mbali.
Lakini nimefanya kazi mkoa wa mwanza ,wilaya ya ukelewe kijiji cha...
Habari Wana JF,
Wataalam wa Numerology naomba msaada wenu kwenye hili
Ni takribani miezi miwili sasa kuna hii incidence imekuwa ikijirudia mara kwa mara na mwanzoni nilikuwa nikiipuuza ila sasa...
Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga.
Soma pia
~ Katambi...
Imefikia hatua Watu wanapigwa kwa kuunganishwa na skendo ya kuchukua makende ya watu, kwa style hii watu watasingizia tu kwa hila ili wauawe.
Watu wamesahau mafuta ghafla sasa ni makende
"Kanisa linahubiri kwamba njia pekee ya kuokowa ni kupitia damu ya Yesu. Lakini tunangalia maneno ya Yesu mwenyewe, tunapata story tofauti kabisa. Yesu hakuwahi kuhubiri kwamba yeye ni 'Yahweh'...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, John Heche anatarajia kufanya Mkutano na vyombo vya habari majira ya saa nane mchana leo April 6, 2026
https://youtu.be/aXSaYMZftks?si=3JgcTDfjqyx3-dLi
Niwatakie heri ya sikukuu ya pasaka wana Jf wote , sijaona au labda sijatafuta Uzi wa sikukuu ya pasaka 2026 nimeona niandike kuwatakia wote Heri ya sikukuu ya pasaka Mwokozi amefufuka , tuyatende...
PM imejaa messages kuniomba nitoe msimamo wangu kuhusu hii vita ya Iran, USA na Israel. Hii ni kwa sababu mara nyingi msimamo wangu ndo huwa msimamo wa JF.
WanaJF mko sahihi kabisa kuja kwa...
Psychological crisis
Mgogoro wa kisaikolojia ni chanzo cha stress katika maisha .
Inaanza hivi.
Katika utafutaji -wengi tumejikuta tunasafiri , kutoka eneo moja mpaka eneo lingine.
Ila wengi...
Kuna kero naomba kuwasilisha, Makazi yangu ni Bagamoyo ila kazi zangu ni Kinondoni, natumia usafiri wa umma kwa maana ya daladala.
Jamani naomba Mkuu wa Usalama barabarani aone namna ya kufanya...
Wasioamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, wanakosa baraka nyingi ambazo Mungu ametupatia kupitia mateso, kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo. Zifuatazo ni baadhi ya baraka hizo kuu...
Habari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha...
Utafiti unaonyesha kwamba mlio wa paka (purr) unaweza kweli kusaidia kuponya mifupa na kuchochea ukarabati wa tishu za mwili.
Sayansi inaonyesha kwamba mlio wa paka si ishara ya furaha tu, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.