Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke
Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo...
Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu.
Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia...
Mahakama ina uhasama na Serikali kuu na kila mmoja anaonyesha nguvu zake, bunge nalo linaichachafya serikali. ndani ya bunge kuna uhasama wa wabunge, tena itapendeza kama hakuna chama chenye...
Habari zenu wakuu,, jinsi Dunia inavoonekana Kwa mbali Kwa kweli ni kitu Cha kustaajabisha
Hua Nawaza kama Kuna sehemu ( sayari ) Kuna viumbe kama sisi basi siku wakija huku watakua wanashangaa...
Ameandika The Instigator, @Am_Blujay
Kutana na Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kwa kutumia mawe 😂
Mnamo mwaka 2007, aliwashawishi mawaziri wakuu wa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amethibitisha kukamatwa kwa Wafanyabiashara wawili wakiwa na galoni zaidi elfu tano (5000) za oil feki Jijini Dar es salaam kufuatia taarifa za uwepo...
Nch yangu ni nchi isiyopenda kuambiwa ukweli wao ni mabingwa wa kutoa makatazo bila kujali chanzo cha tatizo.
Hivi leo wananchi kila siku wanapiga kelele juu ya yaliyotokea 29/10 hakuna anayejali...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka
Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa...
Huu ni utajiri(wealth) ambao mtu yoyote awezi kuiga kutoka kwako au copy
Katika dunia watu wanajua utajiri pekee ni kumiliki mali na fedha au material things hivi ni vitu mtu yoyote anaweza...
Mashariki ya Kati ina karibu nusu ya akiba yote ya mafuta ya duniani. Lakini kwa nini?
Siri ya utajiri mkubwa wa nishati katika eneo la Middle East ipo katika historia yake ya kale sana ya...
Jumla ya madaktari bingwa 43 wa mifupa kutoka nchi za Tanzania, Uganda, Rwanda, Zambia na Zimbabwe wamepatiwa mafunzo ya kitaalam ya Teknolojia mpya na za kisasa za kutibu mifupa iliyovunjika...
Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao...
I'm not much of technologist lakini I'm confused.
I can’t claim that the Apollo 17 mission in 1972 was fake, since I have no proof and that would just be an emotional argument. However, I’m...
Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko...
Niliwashaurini vizuri tu kuwa Mhusika Mkuu aombe tu Msamaha kwa Watanzania, Wahanga au Familia za Wahanga zifidiwe na Wahusika wa ile Jenosaidi iliyoratibiwa Kipumbavu (Kipopoma) ama Wakamatwe...
Ilikua siku ya ijumaa, majira ya saa sita mchana nikiwa maeneo ya kilimahewa bondeni, kuna mteja wangu wa sabuni aliniagiza nimpelekee kwake nikiwa getini alitoka nikampatia mzigo wake akanipa...
Mashariki ya kati, ambapo Yesu alitokea hakubaliki. Isreal ambapo ndipo alizaliwa na kufanya miujiza yale yote hakubaliki. Wayahudi wako na imani yao ambayo haimtambui Yesu. Wayahudi wanaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.