Bei ya mafuta duniani imepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Mapema Jumanne, pipa moja...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ndumbwi, Mbezi Beach kata ya Kawe amefanya kitendo cha kijasiri kwa ku mobilize wananchi kuzima moto nyumba iliyokuwa inaungua...
Kumekuwa na tatizo la maji katika eneo la Lemguru Kisongo A to Z, maji hayajatoka miezi miwili sasa na bili za maji zinakuja zikiwa juu bila maelezo
Tatizo limeripotiwa kwa Mkurugenzi idara ya...
Mtoto awe wa kike au wa kiume ni lazima afanane na baba yake.
Binadamu ana pair 23 ya chromosomes na kufanya jumla ya 46 .
Hizo ndizo huunda mtoto.
Sasa mtoto kama ametokana na chromosomes za...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo...
Nina uhakika na shutuma hii kuwa ni kweli baadhi ya Kampuni za mawasiliano zinadanganya uma kuwa zinatoa kasi ya 4G au 5G lakini ukweli ni kuwa wamehariri majina ya Band lakini hawajafunga cable...
Tulishaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, lakini inaonekana tulichukua kauli hii kwa kuitafisiri kutoka kingereza bila kuangalia uhalisia wa mfumo wetu wa elimu. Tumeamini sana tafsiri yake juu...
BM ni mojawapo ya mabasi ambayo imewekeza na kuingia kwenye usafiri na usafirishaji wa parcel kwa nguvu sana. Wana mabasi mengi sana route ya DAR-ARUSHA.
Wasafiri wa kanda hizo wanapenda luxury...
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2.
Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70.
Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye...
🚨 Wanasayansi wamenasa picha ya wakati maisha yanaanza!
Katika sekunde ile ile ya mbegu ya kiume inapokutana na yai (fertilization), mfululizo tulivu wa shughuli za kibiolojia huanza: mabilioni...
Tujiulize maswali haya
Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi...
Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara?
Je magari yameongezeka sana nchini?
Je kumekuwa na urahisi wa...
Wakuu, kuna uongo mkubwa sana umepandikizwa miongoni mwetu. Watu wameaminishwa kuwa mafanikio ni lundo la minoti :) , majumba ya kifahari, na magari makali. Huu ni wazimu na "kiini macho" cha hali...
Sijui kwa upande wako
ila upande wangu,
Yeye hajui ila mimi mfuatiliaji wake humu JF, nyuzi zake hazina shangwe sana, hauwezi kuta zina comments ila huwa ni kuntu, comments zake huwa zipo nje ya...
Shalom akhbar!
Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini?
Simple.
Wanawake ni Viumbe wa hisia...
Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted
Idea ya Mungu...
Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida.
Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki...
Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona.
Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.