Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (8b5c)
Baadhi ya vituo vya kutolea huduma za afya wilayani Karagwe ukienda kupata huduma usiku wanakwambia bima ya NHIF haitumiki usiku. Soma Pia: Changamoto kwa baadhi ya vituo vya afya na zahanati...
0 Reactions
3 Replies
226 Views
guest-1795378001
Kuzimu ni chini ya ardhi sehemu mahali yenye maeneo mengi ni zaidi ya moja ,kuna eneo la kwanza mapokezi shiole mapkizi, ni kama mapokezi , kuna eneo la njia panda lenye njia mbili milango...
2 Reactions
12 Replies
396 Views
Kuna maudhi yanayoendelea kwenye customer care au call centre za Tanzania ambayo hatuwezi kuyafumbia macho. Na mengi ya maudhi haya yako mashirika ya simu, na mengine yanayotoa huduma nyinginezo...
4 Reactions
17 Replies
391 Views
[Zab130:3] BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama? [Zab51:3] Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima [Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na...
2 Reactions
2 Replies
126 Views
Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi. Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli...
8 Reactions
13 Replies
321 Views
Tunawapenda sana ITV, EATV & CAPITAL TV na Channels nyinginezo Ili mahaba yazidi haya tafadhali tafuteni vijana wazuri wa graphics waboreshe Broadcast Design Vilevile tumieni Camera zenye...
5 Reactions
2 Replies
149 Views
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi...
14 Reactions
83 Replies
4K Views
Onyo" Biashara hii ni haramu kama ilivyo kujipatia mali kwa ujangili, adhabu yake ni miaka 30 Jela. maada hii ni kwa educational purposes only, Bangi, Msuba, Cha Arusha, Mmea, Wida, n.k. hii...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
JE, VITA YA TATU YA DUNIA INAWEZEKANA? Tafakari ya Kiuhalisia Kutoka Hiroshima hadi Enzi za Mtandao na Droni Ndugu msomaji, Usikie sauti hii kama ya mwandishi wa barua kutoka siku za mwisho...
3 Reactions
9 Replies
712 Views
Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi...
4 Reactions
11 Replies
670 Views
nikiukiza ChatGpt: nielekeze namna sahihi ya kufoka na kugomba, nieleze kwakutumia maandishi pia unipe picha inayoonyesha namna sahihi ya kugomba na kufoka, pia unioe picha inayoonyesha namna...
2 Reactions
5 Replies
278 Views
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu...
6 Reactions
18 Replies
682 Views
1. Shida ya maji 2. Mafuriko wakati wa mvua 3. Changamoto ya Ajira 4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela 5. Uongozi mbovu 6. Foleni Dar es Salaam 7. Ukosefu wa demokrasia
11 Reactions
11 Replies
289 Views
Kwenu DAWASA Tabata, Waziri Aweso na watendaji wote wahusika; Mimi mkazi wa Tabata napenda kutoa malalamiko yangu rasmi kuhusu kukosekana kwa huduma ya maji katika eneo letu kwa muda wa zaidi ya...
2 Reactions
23 Replies
418 Views
Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa...
3 Reactions
10 Replies
219 Views
Watu weusi ndiyo binadamu waliobarikiwa zaidi duniani baada ya kuumbwa na kuwekwa kwenye bara bora zaidi na lenye kila kitu la Afrika. Mabara mengine ni hovyo sana, kuna majira ya hurricane...
3 Reactions
3 Replies
267 Views
Ni ajabu hadi leo kuna nchi duniani ambazo bado zinatoa adhabu ya kumnyonga mtu aliyeamua kuacha dini yake ya mwanzo na kuwa Mkristo. Aliyebuni sheria/adhabu hiyo aliona kwamba hiyo ndiyo njia ya...
1 Reactions
10 Replies
535 Views
Hivi wakuu mnaionaje Marekani Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything Ukifikiria kiundani Marekani ina...
16 Reactions
86 Replies
1K Views
guest-1795378001
Mtu akishakuwa msaliti once a coward always a coward,hafai kuaminika popote hata kwa familia yake hashindwi kumchomesha hata mwanafamilia yake hata kumuuza mke wake. Dhambi ya usaliti ni kama...
1 Reactions
5 Replies
174 Views
Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya. Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria...
18 Reactions
112 Replies
15K Views
Back
Top Bottom