Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua mtu...
Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali?
Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA...
Lengo...
Mabadiliko ya hali ya hewa na msimu wa mvua kubwa unaweza kuleta changamoto nyingi kama vile mafuriko, upepo mkali, na kukatika kwa umeme. Ili kulinda familia, mali, na afya yako, ni muhimu...
Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya...
Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na...
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi.
Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo inayomwonesha Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Pilato, akilumbana na Askari Polisi katika ibada iliyofanyika katika...
Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote
Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi...
Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection
Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this...
Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.
Na...
: Yohane 6:26-40
Yesu akawajibu, “Kweli nawaambieni, mnanitafuta si kwa kuwa mmeona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishughulikieni...
Sisi ni wakazi wa Magole na Mwanagati, Ilala, Dar es Salaam, tunakabiliwa na changamoto ya daraja linalounganisha maeneo haya mawili.
Awali, Mbunge wetu alifika eneo hilo na kutueleza kuwa daraja...
Salaam
Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,
Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na...
Nilijua ni hadithi tu za kusadikika, na nilijua ni huku Goba tu kunakuaga na shida za maji kwa maeneo mengi na angalau kuna ratiba za maji
Magomeni na manzese maeneo mengi leo ni mwezi wa nne...
Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi.
Matumizi ya mfumo huo...
Ruvuma
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi...