Treni ya Ubungo Station imepata ajali Mabibo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,813
Reaction score
63,269
Leo saa 12:30 asubuhi treni ya jiji kutoka Ubungo Maziwa imepata ajali ya mabehewa matatu kuacha njia eneo la Mabibo Magengeni!

Ajali hiyo ya commuter ya Ubungo Maziwa abiria wametoka salama na waliendelea na safari hadi Kituo kikuu cha Dar! Reli inafanyiwa ukarabati!
 
Aisee...afadhali hamna majeruhi daah...Mungu Tunusuru..Amen
 
Leo saa 12:30 asubuhi treni ya jiji kutoka Ubungo Maziwa imepata ajali ya mabehewa matatu kuacha njia eneo la Mabibo Magengeni!

Ajali hiyo ya commuter ya Ubungo Maziwa abiria wametoka salama na waliendelea na safari hadi Kituo kikuu cha Dar! Reli inafanyiwa ukarabati!
Poleni, tunashukuru kama hakuna majeruhi, tupia kapicha basi
 
Duh miundombinu yetu bado inahitaji umakini(kia) wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom