mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Hivi kitendo cha sukari kuendelea kupanda bei kiasi cha kutoka 1800 kama bei pendekezwa mpaka 3000 hela ya kitanzania!, serikali inaweza kukili kuwa ilikosea kutoa bei pendekezwa ya 1800 !!??
Na gharama za Maisha kuendelea kupanda ilihali mishahara ya watumishi iko palepale, chombo kinachotetea maslahi ya wafanyakazi hakilioni hili hapa!?!?
Na gharama za Maisha kuendelea kupanda ilihali mishahara ya watumishi iko palepale, chombo kinachotetea maslahi ya wafanyakazi hakilioni hili hapa!?!?