Jinsi ya kununua magazeti Mtandaoni

Jinsi ya kununua magazeti Mtandaoni

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Nimejaribu kununua magazeti kupitia blog ya Daudah lakini
kina nikiangalia sioni wapi nitume malipo hayo.
 
Nachojiuliza ni kuwa huko unapopita huyaoni magazeti ya kawaida mkuu?Au ni mwendo wa digitali???
 
Nachojiuliza ni kuwa huko unapopita huyaoni magazeti ya kawaida mkuu?Au ni mwendo wa digitali???
Nayaona lakini ni ya siku ya 5 au saba niko Chipwalapwata mkuu!
 
Nimekusoma mkuu,wakati mwingine magazeti ya online yanaokoa pia gharama mkuu
Tatizo naenda mpaka kwenye kitufe cha kuchagua mtandao naambiwa niingize no yangu ya
simu, sasa nikiingiza ndo sioni kitu cha ziada zaidi ya kuambiwa niverify kama nimelipa.
 
Back
Top Bottom