African carribean self help organization wapendekeza kuwepo free visa kwa waafrica

ashrack

Member
Jun 23, 2017
8
8
Wakizingumza kwenye mdahalo Ulioandaliwa na taasisi ya kilimanjaro dialogue jana mmoja wa waafrika anayeishi marekan Bin-Butuakwa, alisema kuwa kungekuwepo na free visa kwa waafrika wanaishi nje ya nchi pindi wapohitaji kutembelea ndani ya Afrika maana wanarudi nyumbani kwao, kujifunza Tamaduni zao na kuona jinsi gani wazee wao waliishi kiasiri.katika bara la Afrika.
DSCN8797.JPG
DSCN8808.JPG
DSCN8805.JPG
DSCN8806.JPG
 
Back
Top Bottom